Nimeshangaa sana! Kumbe na Polisi wakifiwa Wanalia! πŸ€”

Uchungu wa kifo uko pale pale kwa binadamu awaye yeyote.
Mungu atunusuru ili tutende mema tunapokuwa duniani.
 
Sio kila polisi ni mbaya
 
Ukiangalia hizo fidiu(video)kwa ukaribu na umakini,utagundua ni AI tupu!Wewe niamini tu.Sosi ni chilisosi.
 
Hivi ni nani huwa anatoa design ya uniform za polisi na kuwavalisha? Au ni miili yao midogo na mavitambi? Wanaonekana kama lundi la watoto yatima ambapo unadhifu ni zero... πŸ€”
 
Tena wafiwe zaidi na zaidi na tunaombea ajali ziwaandame hadi Pascal Mayalla aje awaombee msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…