Nimeshangaa sana NSSF, asilimia kubwa wanaodai mafao ni vijana na si wazee kama ilivyokuwa zamani

Nimeshangaa sana NSSF, asilimia kubwa wanaodai mafao ni vijana na si wazee kama ilivyokuwa zamani

Hasa kuna Kadada number 4 pale keupe ivi yani kanadharau sana chief
Customer Care sifuri kabisa kabisa, alikuepo Manager anaitwa Kiluwasha Hizza, was the best, nasikia wamemuondoa wamempeleka HQ wameacha yale makaratasi yanayoshinda na simu
 
Omba MUNGU usiwe na shida ya kukutaka uende pale, NSSF basi tu, wameweka vibinti havina uelewa vinachati tu na nyodo kibao nazungumzia wale wa pale Ubungo
Kwa Dar unaweza fungulia dai lako tawi lingine ukaachana na hao wa Ubungo, kweli wana nyodo zisizo na msingi, mwenye nacho hamjui mwenye njaa
 
Omba MUNGU usiwe na shida ya kukutaka uende pale, NSSF basi tu, wameweka vibinti havina uelewa vinachati tu na nyodo kibao nazungumzia wale wa pale Ubungo
Watanzania ni wapumbavu sana. Unakubaliaje kudharauliwa na kutukanwa na mtumishi wa umma???

Piga spana
 
Hasa kuna Kadada number 4 pale keupe ivi yani kanadharau sana chief
Mkuu sema tupeleke jina lake Babati. Nakuahidi hata mbwa (dog) hawezi kumnusa.
Si anaringa huyo? Wako watu wenye kujua mizizi....
 
Back
Top Bottom