Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Mmechelewa kuamka watanzania na kufanya maamuzi TZ kama TZ, rushwa ni adui wa haki na huduma piana madaktari pia wakisema hivo tutaishi kweli???manesi nao??nchi ya ajabu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmechelewa kuamka watanzania na kufanya maamuzi TZ kama TZ, rushwa ni adui wa haki na huduma piana madaktari pia wakisema hivo tutaishi kweli???manesi nao??nchi ya ajabu hii
Halafu bado anakuja pata 30% Kwa mkupuo ya mafao yake na 70% ya mafao yake kwa awamu awamuwazee wamejikatia tamaa wamebaki manyumbani kwao baada ya kuzungushwa mno hapo NSSF.
Mfumo umeoza ndugu hata ufanyeje wanakwambia mjini huendiMmechelewa kuamka watanzania na kufanya maamuzi TZ kama TZ, rushwa ni adui wa haki na huduma pia
Hahaha utafanyeje sasa na unajua tuna miradi mingi sana nchini kama flyover na vingine piaHalafu bado anakuja pata 30% Kwa mkupuo ya mafao yake na 70% ya mafao yake kwa awamu awamu
Hela yenyewe haifiki hata milioni moja nitatoa rushwa kiasi gani?Unatengenezewa mazingira ya rushwa, toa hela upate hela
Wanakuja na maneno matam kwelilakini siku ya kujiandikisha mmhh kama nawaona vile maelezo mengi mpkaa basi
Wanakupa asilimia 33% ya mshahara wako uliokuwa unapata kabla ya kuachishwa kazi kwa muda wa miezi sita then usubiri tena miezi 18 ndio watakupa pesa yako iliyobakia.Kuna milioni zangu kadhaa kama nimeziachia tu huko nikifikiria process ya kuzipata.
Omba MUNGU usiwe na shida ya kukutaka uende pale, NSSF basi tu, wameweka vibinti havina uelewa vinachati tu na nyodo kibao nazungumzia wale wa pale Ubungo
Customer Care sifuri kabisa kabisa, alikuepo Manager anaitwa Kiluwasha Hizza, was the best, nasikia wamemuondoa wamempeleka HQ wameacha yale makaratasi yanayoshinda na simuHasa kuna Kadada number 4 pale keupe ivi yani kanadharau sana chief
Hata laki, si wanaangalia unachoingizaHela yenyewe haifiki hata milioni moja nitatoa rushwa kiasi gani?
Kwa Dar unaweza fungulia dai lako tawi lingine ukaachana na hao wa Ubungo, kweli wana nyodo zisizo na msingi, mwenye nacho hamjui mwenye njaaOmba MUNGU usiwe na shida ya kukutaka uende pale, NSSF basi tu, wameweka vibinti havina uelewa vinachati tu na nyodo kibao nazungumzia wale wa pale Ubungo
Dah!Hata laki, si wanaangalia unachoingiza
Watanzania ni wapumbavu sana. Unakubaliaje kudharauliwa na kutukanwa na mtumishi wa umma???Omba MUNGU usiwe na shida ya kukutaka uende pale, NSSF basi tu, wameweka vibinti havina uelewa vinachati tu na nyodo kibao nazungumzia wale wa pale Ubungo
Mkuu sema tupeleke jina lake Babati. Nakuahidi hata mbwa (dog) hawezi kumnusa.Hasa kuna Kadada number 4 pale keupe ivi yani kanadharau sana chief
Na kweli. Upende uyasikie kwa watu. NSSF IMEOZANaomba yasinipate haya[emoji848]