Nimeshangaa sana Urusi kukubali maongezi ya amani, yaani nikikumbuka jeuri na mikwara ile

Mwenye akili zake anajua maana yake. Aliyedai kuwa hawezi kukaa kwenye meza ya mazungumzo na Urusi bali ataishinda urusi kwenye uwanja wa vita, leo ndiye anayetaka mazungumzo ya amani na urusi! Waswahili walisema tatizo la ngoma ya watoto ni kwamba haiwezi kukesha!
 
Hiv
Hivi kwa ufahamu wako toka mwanzo wa mgogoro huu aliyekataa mazungumzo ya amani ni nani? Hivi ni kweli haujui kuwa Ukraine ndiyo iliyogomea mazungumzo na ikadai itaishinda urusi kwenye uwanja wa vita au umeamua kujitoa ufahamu? Aliyegomea mazungumzo ya amani leo ndiye anayetaka mazungumzo ya amani!! Kaachiwa mji wa kherson kwa dezo leo anadai ameuteka!! Kinachoendelea leo huko Donbas siyo cha kitoto!!
 
ishu sio mazungumzo nikwamba PUTIN aseme majibu yote manne aliyokua amekwapua ANAAchana nayo ni ARDHI halali ya UkRaine na WA Ukraine wenyewe.....awarudishe raia aliowasomba kwenye majimbo hayo kuwapeleka urusi .....nje yahapo HIMARS iendelee na SHUGHURI yake
 
Una akili nzuri sana

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilijalibu kufatilia Sana hii vta hasa hasa toka mwanzo Na nilijalibu pia kusoma Na migogoro ya mwanzo toka vita ya atomic bomb ,km unakumbuka vizur kabla ya hii unayoona sasa Ni kua urusi alibadil mbinu Na kuanza kutumia kamikaze Ali iliyopelekea ukrenia kuanza kumezwa Na hatar zaid baada ya yeye kufanya tukio la kosa la kimkakat kushambulia daraja ivyo Kwanza urusi alifuta mkataba wa chakula baadae wazir wa mambo ya nje wa urusi aliongea Na mawazir wote wa nato tena us ndio walitoa hizo habar Na hii Ni baada ya Putin kugoma maongez Na biden ya ana kwa ana, alaf kilichofata Ni kua baada ya mazungumzo ndio hicho tunachokiona sasa,
Hawa watu walimgawa us ktk makundi manne ya kimkakat Na yamewalipa Na us akagundua njama yao karud gia,
Kwanza ktk pensula ya Korea pale us hakua Na support ya nato so ilikua tatzo kwake
Pili kisiwa cha Taiwan hili us alikua peke yake
Tatu India Na Pakistan,pakstan Ni mkakat wa marekani Na ulimshinda ivyo khafganstan ikamtoka
Nne Ni ushawish wa Africa Na alishuhudia achilia mbali kushndwa kisera lakn pia alishindwa kwa utaweka mfano Mali,bukinafaso Na Africa Kati,
Us ilijua hayo mana ata vta ya tatu ya Africa ilikua njia mana DRC alikua tayal kwa Rwanda Na tuliona wananchi mpk us akatoa tamko,

Kwangu mimi Russia hajashndwa sema yapo makubaliano Bora yamefanyika ,
Ila mshindi wa kwel hapa Ni Turkey hajataka yamkute km ya 1960'1 kucheza poa km israel
 
Russians hawako smart period.
 
Kulikuwa na makubaliano gani ya kuikimbia Kharkiv? Kyiv? Snake Island?
 
Hiyo ndio only best option waliyonayo kwa sasa kwa sababu wameshapoteza muelekeo na hawaoni sababu ya vita..
 
Hivi we mtoa mada unaota kusema yuko tayari kuongelea mambo ya amani mbona tokea zamani Mrusi alikuwa anaongelea hayo kabla ya vita Ukraine.ndio alijidai kichwa maji.

Vita Mrusi kisha shinda Ukraine haingii Nato. Infistructor ya Ukraine kisha irudisha nyuma sana yani Ukraine mpaa irudi ilivyo kuwa mwanzo inataka.miaka 30 labda.

Miji aliyo ichukua Mrusi hairudi Ukraine wanaota tu hio Kherson ni walijitoa wao warusi ili Zelenesky na US pamoja na Nato ili waonekane na wo wamefanya kitu kumbe ni deal hio ya mpaka mpya.
 
Huna akili kwa kweli
 
Hivi vichwa vyenu huwa vinanin?
 

Nimeangalia signature yako nikajua nini shida yako, mumeshikiliwa akili nyote, hata nini kitendeke haiji siku muamke.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…