Nimeshangaa sana Urusi kukubali maongezi ya amani, yaani nikikumbuka jeuri na mikwara ile

Putingo kashachemka kitambo huyo mzee.
 
Kwani jeshi la Urusi limewahi kuvamia nchi gani na kuikalia kijeshi walau kwa mwaka mmoja!!! Labda enzi za mkoloni huko kabla ya Berlin wall kuanguka. Hata Afghanstan waliambulia kichapo tu toka kwa wanamgambo kina Osama. Urusi inatisha kwa kuwa na silaha za nyuklia tu ila kwa jeshi ni kawaida sana tu.
 
aman ipi wkt alikuwa kaivamia crimea tyr na akichochea vita ya kujitenga , kama ww ungezingumza na ktu wa hv ?
 
Mkuu tusitegemee chochote kutoka Russia. Ni kama Putin ameamua kuacha hii vita. Ila anatafuta namna ya kuacha. Ni kama anashindwa kuidharau aibu. Hapa lazima aidharau aibu na kuacha nchi ya watu.
Siyo kweli urusi ameshinda vita hata nato watakuja kukili siku za baadae nguvu walizo tumia usa na nato ni kubwa sana kuliko walivyo mu underestimate urusi ..... pia urussi awezi kumwacha myukreni kupata nguvu kwa sababu atazidisha kiburi kwa urusi ...wewe subiri hutaona ninacho kuambia
 
Dah, sijui wewe ni nani pale Kremlin.
Tatizo akili zenu ndogo kuona mbele ...ninacho sema ni ukweli urusi awezi kushindwa wala hakuna dalili ya kushindwa kwa sababu kabla ya hii vita urussi na makamamanda wake walibweteka kwenye rushwa na ufisadi ila kwa sasa baada ya kuona nato ilivyo adui mkubwa kwa urussi sasa hivi jeshi la urusi lina fanyiwa reform ya hali ya juu na upuuzi wote umewekwa pembeni .
 
Hauna akili kabisa na naamini wewe ni darasa la 7 umeambulia kujua ukaandika tu.
Hivi unasema urusi hawezi pigwa na NATO na hapohapo unakiri ameishiwa Slaa na katika mgogoro na NATO huyohuyo

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ajaishiwa siraha ....ila amebaki na siraha nyingi nzito kama akitumia hizo zana alizo baki nazo usa mwenyewe lazima anyoshe mikono juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…