Nimeshangaa tumekulana wakati sikuwahi kufikiria jumla!

CHIEFMANGU

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
685
Reaction score
1,149
NI jirani yangu, tumeheshimiana tangu kujuana, huu ni mwaka WA 3 tunaishi vema kabisa!

Kama tar.20 May, aliazima kiasi kidogo cha pesa, kama 150k kwa ahadi kwamba angerudisha tar.30/05/2026. Nikampa.

Ulifika tar. 30 hakunipa, na Mimi sikumuuliza, mara tumeanza mwezi June, mtu kimya (tunakutana, na tunasalimiana vizuri tu).

Juzi, kanipigia simu kama saa kumi jioni, akitaka kujua nipo wapi, nikamwambia bado nipo kwenye mizunguko yangu, (kichwani nikajua pesa yangu inarudi), akaniomba nimchukulie dawa za maumivu, nikamwambia "Sawa"

Nimefika nyumbani, kama SAA moja na nusu, nikamwambia aje aichukue dawa, akasema kwa anavyojisikia, naomba nimpelekee, nikaona sio kesi kwa sababu ni jirani tu!

Nimefika, namkuta sebuleni, amewasha mwanga hafifuuuu, na amekaa kinyonge sana, aliposimama tu, akanikumbatia na kuanza kuniomba radhi, kwamba nisimuelewe vibaya, yupo lonely Sana, nikiwa bado kwenye bumbuwazi akanisukumia kitandani,kilichofuata sikumbuki chochote, zaidi Nilijua SAA Saba usiku bado nipo chumbani kwa mwanamke, (kitu ambacho sijawahi kuwaza)

Baada ya kumaliza, ananishukuru, (nikajilaumu kwamba deni limelipwa kwa kupewa uchi?) nikajiona mjinga kweli!

Ila thanks kwamba, Leo naona muamamala wa kunilipa pesa yangu! Basi angalau moyo wangu imetulia!
 
NI jirani yangu, tumeheshimiana tangu kujuana, huu ni mwaka WA 3 tunaishi vema kabisa!

Kama tar.20 May, aliazima kiasi kidogo cha pesa, kama 150k kwa ahadi kwamba angerudisha tar.30/05/2026. Nikampa.

Ulifika tar. 30 hakunipa, na Mimi sikumuuliza, mara tumeanza mwezi June, mtu kimya (tunakutana, na tunasalimiana vizuri tu).

Juzi, kanipigia simu kama saa kumi jioni, akitaka kujua nipo wapi, nikamwambia bado nipo kwenye mizunguko yangu, (kichwani nikajua pesa yangu inarudi), akaniomba
nimchukulie dawa za maumivu, nikamwambia "Sawa"

Nimefika nyumbani, kama SAA moja na nusu, nikamwambia aje aichukue dawa, akasema kwa anavyojisikia, naomba nimpelekee, nikaona sio kesi kwa sababu ni jirani tu!

Nimefika, namkuta sebuleni, amewasha mwanga hafifuuuu, na amekaa kinyonge sana, aliposimama tu, akanikumbatia na kuanza kuniomba radhi, kwamba nisimuelewe vibaya, yupo lonely Sana, nikiwa bado kwenye bumbuwazi akanisukumia kitandani,kilichofuata sikumbuki chochote, zaidi Nilijua SAA Saba usiku bado nipo chumbani kwa mwanamke, (kitu ambacho sijawahi kuwaza)

Baada ya kumaliza, ananishukuru, (nikajilaumu kwamba deni limelipwa kwa kupewa uchi?) nikajiona mjinga kweli!

Ila thanks kwamba, Leo naona muamamala wa kunilipa pesa yangu! Basi angalau moyo wangu imetulia!
ONGEZA UBUNIFU
ULIMKUTA SEBULENI AU CHUMBANI
AU SEBULE NA CHUMBA NI KITU KIMOJA ?
 
downloadfile.png
hii kasusu ni ya moto sana.
 
Nimefika, namkuta sebuleni, amewasha mwanga hafifuuuu, na amekaa kinyonge sana, aliposimama tu, akanikumbatia na kuanza kuniomba radhi, kwamba nisimuelewe vibaya, yupo lonely Sana, nikiwa bado kwenye bumbuwazi akanisukumia kitandani,
Oya ooi emu subiri kwanza hapo hapo subiri hapo kwanza -rewind anza pale juu, hivi hapo sebleni ndio chumbani au chumbani ndio sebleni? maana sijaelewa halafu hii si ndio ile story ya wakenya ya kipindi kirefu sana inayozunguka tangu 2010 kurudi 2009 ilianzia huko fb na mpaka leo bado inasimuliwa tu
 
VAR😀
 
Back
Top Bottom