Nimeshangaa tumekulana wakati sikuwahi kufikiria jumla!

Nimeshangaa tumekulana wakati sikuwahi kufikiria jumla!

Sa hapa ndo pale nilisikia mtu akisema ni mathogothanio yaan seblen, mkumbatiano,mara hiyo tu kitandani.
Poa umekula kimasihara hiyo, wewe nenda tu upime afya kama ipo sawa endelea kukulana zaidi na zaidi afu utulete mrejesho tena coz hela yako umepewa na faida juu so sio cha kulamika hapo au kama kakubaka useme tu.
 
elon mask kama angekuwa mpumbavu kama mleta mada basi angewaliza wanawake wa dunia hii. Lakini kwa vile ana uchu wa maendeleo hajisifii ngono bali anajikita katika utafutaji.
Kama unataka kuwa kama Elon Musk niwewe
 
NI jirani yangu, tumeheshimiana tangu kujuana, huu ni mwaka WA 3 tunaishi vema kabisa!

Kama tar.20 May, aliazima kiasi kidogo cha pesa, kama 150k kwa ahadi kwamba angerudisha tar.30/05/2026. Nikampa.

Ulifika tar. 30 hakunipa, na Mimi sikumuuliza, mara tumeanza mwezi June, mtu kimya (tunakutana, na tunasalimiana vizuri tu).

Juzi, kanipigia simu kama saa kumi jioni, akitaka kujua nipo wapi, nikamwambia bado nipo kwenye mizunguko yangu, (kichwani nikajua pesa yangu inarudi), akaniomba nimchukulie dawa za maumivu, nikamwambia "Sawa"

Nimefika nyumbani, kama SAA moja na nusu, nikamwambia aje aichukue dawa, akasema kwa anavyojisikia, naomba nimpelekee, nikaona sio kesi kwa sababu ni jirani tu!

Nimefika, namkuta sebuleni, amewasha mwanga hafifuuuu, na amekaa kinyonge sana, aliposimama tu, akanikumbatia na kuanza kuniomba radhi, kwamba nisimuelewe vibaya, yupo lonely Sana, nikiwa bado kwenye bumbuwazi akanisukumia kitandani,kilichofuata sikumbuki chochote, zaidi Nilijua SAA Saba usiku bado nipo chumbani kwa mwanamke, (kitu ambacho sijawahi kuwaza)

Baada ya kumaliza, ananishukuru, (nikajilaumu kwamba deni limelipwa kwa kupewa uchi?) nikajiona mjinga kweli!

Ila thanks kwamba, Leo naona muamamala wa kunilipa pesa yangu! Basi angalau moyo wangu imetulia!
Huu uzi utakuwa na wachangiaji wengi sana kuwahi kutokea
 
Sa hapa ndo pale nilisikia mtu akisema ni mathogothanio yaan seblen, mkumbatiano,mara hiyo tu kitandani.
Poa umekula kimasihara hiyo, wewe nenda tu upime afya kama ipo sawa endelea kukulana zaidi na zaidi afu utulete mrejesho tena coz hela yako umepewa na faida juu so sio cha kulamika hapo au kama kakubaka useme tu.
Nimewaza Sana, kwamba yawezekana yeye alipanga bila Mimi kujua,likitokea la mimba sijui itakuwaje, maana sikuwa na mpango wa kuzalisha mtu kabisaaa!
 
Back
Top Bottom