CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 685
- 1,149
ONGEZA UBUNIFUNI jirani yangu, tumeheshimiana tangu kujuana, huu ni mwaka WA 3 tunaishi vema kabisa!
Kama tar.20 May, aliazima kiasi kidogo cha pesa, kama 150k kwa ahadi kwamba angerudisha tar.30/05/2026. Nikampa.
Ulifika tar. 30 hakunipa, na Mimi sikumuuliza, mara tumeanza mwezi June, mtu kimya (tunakutana, na tunasalimiana vizuri tu).
Juzi, kanipigia simu kama saa kumi jioni, akitaka kujua nipo wapi, nikamwambia bado nipo kwenye mizunguko yangu, (kichwani nikajua pesa yangu inarudi), akaniomba
nimchukulie dawa za maumivu, nikamwambia "Sawa"
Nimefika nyumbani, kama SAA moja na nusu, nikamwambia aje aichukue dawa, akasema kwa anavyojisikia, naomba nimpelekee, nikaona sio kesi kwa sababu ni jirani tu!
Nimefika, namkuta sebuleni, amewasha mwanga hafifuuuu, na amekaa kinyonge sana, aliposimama tu, akanikumbatia na kuanza kuniomba radhi, kwamba nisimuelewe vibaya, yupo lonely Sana, nikiwa bado kwenye bumbuwazi akanisukumia kitandani,kilichofuata sikumbuki chochote, zaidi Nilijua SAA Saba usiku bado nipo chumbani kwa mwanamke, (kitu ambacho sijawahi kuwaza)
Baada ya kumaliza, ananishukuru, (nikajilaumu kwamba deni limelipwa kwa kupewa uchi?) nikajiona mjinga kweli!
Ila thanks kwamba, Leo naona muamamala wa kunilipa pesa yangu! Basi angalau moyo wangu imetulia!
Oya ooi emu subiri kwanza hapo hapo subiri hapo kwanza -rewind anza pale juu, hivi hapo sebleni ndio chumbani au chumbani ndio sebleni? maana sijaelewa halafu hii si ndio ile story ya wakenya ya kipindi kirefu sana inayozunguka tangu 2010 kurudi 2009 ilianzia huko fb na mpaka leo bado inasimuliwa tuNimefika, namkuta sebuleni, amewasha mwanga hafifuuuu, na amekaa kinyonge sana, aliposimama tu, akanikumbatia na kuanza kuniomba radhi, kwamba nisimuelewe vibaya, yupo lonely Sana, nikiwa bado kwenye bumbuwazi akanisukumia kitandani,
sio kila mwanaume anajitafuta mkuu wengine kazi zao ni kutafuta mbususu, punguza hasira 😁Mwanaume kujisifia ngono ni upumbavu na haukubaliki ktk jamii ya watafutaji.
connected dah🙄Ushaungwa kwenye gridi ya taifa
tunapoteza vijana kwa tamaa za ngono wtfconnected dah🙄
ameuza game kirahisi sana,tunapoteza vijana kwa tamaa za ngono wtf
sema ni kawaida ya nyege zikitawala akiliameuza game kirahisi sana,
VAR😀Oya ooi emu subiri kwanza hapo hapo subiri hapo kwanza -rewind anza pale juu, hivi hapo sebleni ndio chumbani au chumbani ndio sebleni? maana sijaelewa halafu hii si ndio ile story ya wakenya ya kipindi kirefu sana inayozunguka tangu 2010 kurudi 2009 ilianzia huko fb na mpaka leo bado inasimuliwa tu
aanze kula vizuri mboga mboga na matunda kwa wingi.Dah mangi, umeuza mechi!
na mimba za utotoni na single mama na watoto wa mtaani.sema ni kawaida ya nyege zikitawala akili
Hatari sanana mimba za utotoni na single mama na watoto wa mtaani.
unplanned birth.
elon mask kama angekuwa mpumbavu kama mleta mada basi angewaliza wanawake wa dunia hii. Lakini kwa vile ana uchu wa maendeleo hajisifii ngono bali anajikita katika utafutaji.sio kila mwanaume anajitafuta mkuu wengine kazi zao ni kutafuta mbususu, punguza hasira