Nimeshangaa tumekulana wakati sikuwahi kufikiria jumla!

Sa hapa ndo pale nilisikia mtu akisema ni mathogothanio yaan seblen, mkumbatiano,mara hiyo tu kitandani.
Poa umekula kimasihara hiyo, wewe nenda tu upime afya kama ipo sawa endelea kukulana zaidi na zaidi afu utulete mrejesho tena coz hela yako umepewa na faida juu so sio cha kulamika hapo au kama kakubaka useme tu.
 
elon mask kama angekuwa mpumbavu kama mleta mada basi angewaliza wanawake wa dunia hii. Lakini kwa vile ana uchu wa maendeleo hajisifii ngono bali anajikita katika utafutaji.
Kama unataka kuwa kama Elon Musk niwewe
 
Huu uzi utakuwa na wachangiaji wengi sana kuwahi kutokea
 
Nimewaza Sana, kwamba yawezekana yeye alipanga bila Mimi kujua,likitokea la mimba sijui itakuwaje, maana sikuwa na mpango wa kuzalisha mtu kabisaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…