Nimeshangaa tumekulana wakati sikuwahi kufikiria jumla!

elon mask kama angekuwa mpumbavu kama mleta mada basi angewaliza wanawake wa dunia hii. Lakini kwa vile ana uchu wa maendeleo hajisifii ngono bali anajikita katika utafutaji.
Ana watoto 11 na wanawake watano tofauti na yuko single hajaoa
 
Hiyo michezo, kaanza kwa kuchanganya mapenzi na uaminifu. Hilo ndo limbwata hatari zaidi.

Nakuhakikishia usipokata mazoea atakufirisi Kaka...🫵🏾
 
Wewe umeona uneokota dodo? Baada ya Wiki Nne kapime VVU kwanza harafu Urudishe hapa majibu
 
Si utani🔥🔥💔
 
Hivi gridi ya taifa na mkongo wa taifa vina utofauti?? Nataka kujua umefiti kuungwa wapi mkuu
 
Sio poa bahati hajakutapel ila wanawake ni wakukaa nao kijanja.
 
Hiyo ya kulipwa umetupigq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…