Nimeshangazwa na binti anayejiita Mlokole ila anajiuza kwa siri

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Binti yuko hapa mkoa x na yuko kwenye magroup ya WhatsApp ya walokole ila anajiuza. Tofauti tu ni kwamba inabidi utumie gharama kubwa kujificha, ili kanisani aendelee kuaminika.

Huko kanisani kwanini msiwafundishe kuwa wawazi tu ili kuachana na unafiki wa kujifanya mcha Mungu hadi mitandaoni halafu kumbe binti anajiuza kwa siri?

Nimeshangazwa sana, ndio maana hamuolewi ninyi mabinti. Mtu anaona bora achukue bar maid tu kwani haishi kinafiki!
 
Ushamnunua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…