Nimeshangazwa na binti anayejiita Mlokole ila anajiuza kwa siri

Nimeshangazwa na binti anayejiita Mlokole ila anajiuza kwa siri

Kanisani sio salama sana kutafuta mke wengi wakishaolewa na kanisani wanakata mguu. Ni heri umtoe duniani umpelekee kanisani. Mabinti wengi wa church ni wazugaji key points ni kusaka waoaji na sio kumtafuta MUNGU.
 
Ogoga sana wanaopenda kujionyesha mbele za watu ni wema .
 
Wewe ni mnunuaji
Huna tofauti nae
Tofauti ipo mnunuzi anaitwa Client na muu
Wewe ni mnunuaji
Huna tofauti nae
Muuzwaji na mnunuaji ni tofauti sana, muuzwaji ni sawa na bidhaa/mfugo yaani kajitoa ubinadamu na utu wake, waafrika tuliouzwa na wazungu na waarabu tulidharaulika hadi leo, kujiuza ni kujitoa utu na ubinadamu na kuwa kama mnyama au mfugo mnadani, wanunuaji wala hawadharauliki.
 
% kubwa watu wametokwa na imani ya ucha Mungu,pole yao kwa kugonganisha hasi na chanya.
 
Binti yuko hapa mkoa x na yuko kwenye magroup ya WhatsApp ya walokole ila anajiuza. Tofauti tu ni kwamba inabidi utumie gharama kubwa kujificha, ili kanisani aendelee kuaminika.

Huko kanisani kwanini msiwafundishe kuwa wawazi tu ili kuachana na unafiki wa kujifanya mcha Mungu hadi mitandaoni halafu kumbe binti anajiuza kwa siri?

Nimeshangazwa sana, ndio maana hamuolewi ninyi mabinti. Mtu anaona bora achukue bar maid tu kwani haishi kinafiki!
Kanisani awaambie nani? Wachungaji wenyewe hawatuambii ukweli. Wanatuambia mwisho wa dunia umekaribia halafu wao wananunua mashamba
 
Ina maana hujawahi muona mtu mnafiki maishani kwako?

Have you not seen a hypocrite in your entire life?
🤣🤣🤣hajui mtu akishaitwa mwanamke tiari ndani yake anasifa ya unafiki
 
Weka namba yake acha mijineno isiyokuwa na faida!!!
 
Kwani we hujui kanisani shetani pia ana maagent wake ? Na sifa ya spy ni usiri ukijulikana wewe ni nani unakua huna thamani Tena kwa hiyo lazima avae ulokole usitiwa shaka ili awapate walokole na kuwaangusha
 
Back
Top Bottom