Nimeshangazwa na binti anayejiita Mlokole ila anajiuza kwa siri

Nimeshangazwa na binti anayejiita Mlokole ila anajiuza kwa siri

Yeye mwenyewe mnafiki.

Hawezi kuona
Sijui kama yupo humu ila kama wewe ni mmoja wapo kwenye magroup yenu ya walokole,peleka uzi huu huenda akaacha.
Afanye kazi kwa kuridhika,hakuna vitu rahisi tu.
 
😂😂😂😂Ngoja Nami nihamie huko tuwe tunaenda wote church 😋
NB: Usimwamini mtu Kwa kumtazama tu au maneno yake....mwamini mtu Kwa matendo yake ivo hicho ulichokishuhudia ndiyo uhalisia wake
😄 karibu mkuu
 
Huyo binti muonekano wake upoje em muelezee kidog tu m nawez nikaw namfaham kabsa plz mkuu em elezea kidog muonekano wake au hat herufi y kwanz t ya jina lake mi nawez nikawa namjua huyo.
 
Binti yupo mkoa x na yuko kwenye magroup ya WhatsApp ya walokole ila kibinti kinajiuza.
Tofauti tu ni kwamba inabidi utumie gharama kubwa kujificha,ili kanisani aendelee kuaminika.

Huko kanisani kwa nini msiwafundishe kuwa wazi tu ili kuachana na unafiki wa kujifanya mcha Mungu hadi mitandaoni halafu kumbe binti anajiuza kwa siri?
Nimeshangazwa sana.Ndio maana hamuolewi ninyi mabinti.Mtu anaona bora achukue bar maid tu kwani haishi kinafiki
Unaweza kushare namba Mkuu weekend hii tukasuuze rungu?
 
Kama anajiuza kwa siri wewe umejuaje?
 
Usichokijua huko kanisani nako wanakula vichwa,kuna changudoa alikuwa anajiuza pale Riverside ila Ijumaa msikitini anaenda na Jpili utamkuta kwa Mwamposa, focus na mambo yako mkuu.
 
Humohumo kanisani kuna uchafu mwingi magasho,wanaozibua mitaro,wanakwaya wanakulana,kikubwa ni kutengeneza njia yako.Ukiyazingatia ya wanadamu utachelewa kufika.
 
Binti yuko hapa mkoa x na yuko kwenye magroup ya WhatsApp ya walokole ila anajiuza. Tofauti tu ni kwamba inabidi utumie gharama kubwa kujificha, ili kanisani aendelee kuaminika.

Huko kanisani kwanini msiwafundishe kuwa wawazi tu ili kuachana na unafiki wa kujifanya mcha Mungu hadi mitandaoni halafu kumbe binti anajiuza kwa siri?

Nimeshangazwa sana, ndio maana hamuolewi ninyi mabinti. Mtu anaona bora achukue bar maid tu kwani haishi kinafiki!
Kutokuwepo na ajira hakuchagui mlokole ama mpagani🙃
(Sihalalishi yeye kujiuza)
 
Back
Top Bottom