jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Wanawake wakislamu wanafanya ibada nyumbani na siyo msikitiniUsichokijua huko kanisani nako wanakula vichwa,kuna changudoa alikuwa anajiuza pale Riverside ila Ijumaa msikitini anaenda na Jpili utamkuta kwa Mwamposa, focus na mambo yako mkuu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app