Nimeshangazwa na binti anayejiita Mlokole ila anajiuza kwa siri

Yeye mwenyewe mnafiki.

Hawezi kuona
Sijui kama yupo humu ila kama wewe ni mmoja wapo kwenye magroup yenu ya walokole,peleka uzi huu huenda akaacha.
Afanye kazi kwa kuridhika,hakuna vitu rahisi tu.
 
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚Ngoja Nami nihamie huko tuwe tunaenda wote church šŸ˜‹
NB: Usimwamini mtu Kwa kumtazama tu au maneno yake....mwamini mtu Kwa matendo yake ivo hicho ulichokishuhudia ndiyo uhalisia wake
šŸ˜„ karibu mkuu
 
Huyo binti muonekano wake upoje em muelezee kidog tu m nawez nikaw namfaham kabsa plz mkuu em elezea kidog muonekano wake au hat herufi y kwanz t ya jina lake mi nawez nikawa namjua huyo.
 
Unaweza kushare namba Mkuu weekend hii tukasuuze rungu?
 
Kama anajiuza kwa siri wewe umejuaje?
 
Usichokijua huko kanisani nako wanakula vichwa,kuna changudoa alikuwa anajiuza pale Riverside ila Ijumaa msikitini anaenda na Jpili utamkuta kwa Mwamposa, focus na mambo yako mkuu.
 
Humohumo kanisani kuna uchafu mwingi magasho,wanaozibua mitaro,wanakwaya wanakulana,kikubwa ni kutengeneza njia yako.Ukiyazingatia ya wanadamu utachelewa kufika.
 
Kutokuwepo na ajira hakuchagui mlokole ama mpaganišŸ™ƒ
(Sihalalishi yeye kujiuza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…