Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

huyo angekutana na mimi mturuki mapema kma PSG na INTER
 
Safi sana..
 
Huu mjadala
Mjadala Wako ni nonsense 😁
 
ni mwanaume suruali pekee tena aliea na tatizo la afya ya uzazi ndio hukataa fursa nyeupe kabisa ya kugegeda. Mwanaume kamili mwenye afya njema hajivungi wala kulaza damu hata sekunde moja kwenye fursa kama hizo za kunyandua gentleman.

Pole kwa changamoto ya unyonge unayopitia 🐒
 
Uko sahihi.
Na pia wanakuwaga na wivu mbaya hakuachii upenyo hata kidogo.
Haoni shida asubuhi kukusindikiza hadi kazini kwako na jioni anakufuata kazini mnarudi wote hadi nyumbani ili mradi usipate upenyo wa kuongea na mwanamke mwingine.
Kwa haraka haraka watu wengi wanaweza kudhani kwamba huyo mwanamke ni malaya kumbe hapana hao ni aina ya wanawake ambao wamelelewa kwenye lifestyle ya kizungu yaani hawapendi unafiki wa kujjfanya hataki wakati anataka hawapendi kujitesa kwa kufichaficha mambo wanafunguka tu na ukiona hadi amekutamkia hivyo ujue alishakuchunguza siku nyingi na akakuona unamfaa kwa maisha yake na ndoto zake za baadae so hataki kujivunga jimbo liwaiwe na watu wengine.
Ubaya wa wanawake wa sampuli hii ukiwatenda vibaya au ukimuacha ghafla hawachelewi kunywa sumu au kupata kichaa cha mapenzi.
 
We ni wa kiume kwani?
 
hutopata bahati hiyo tena
 
Nilitaka kukuomba no yake ila basi..... ila kama ukitaka nipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…