secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kwa nini usiombwe 😅😅.Wee chizi nini...
Unataka kusema mimi nafanana na kuombwa sex na mdada
Mi kuombwa sex na binti ndiyo furaha yangu.
Kwa nini usiombwe 😅😅.Wee chizi nini...
Unataka kusema mimi nafanana na kuombwa sex na mdada
Mi sijawahi na haitokuja kuwahi...Kwa nini usiombwe 😅😅.
Mi kuombwa sex na binti ndiyo furaha yangu.
Ukiombwa jua wewe ni rijali na anayekuomba ameshapewe story kuwa wewe una tabia ya kuwafikisha watu kileleni 😎.Mi sijawahi na haitokuja kuwahi...
Kwanza hizo ni ishara za upinde kwanini akuombe..
Mpaka unaombwa jua una shida mahali
Kaniboa sana.Ni kweli aisee hilo jina lake linaaibisha watu wengi ni bora angebadilisha atumie majina kama Pimbi,Kihiyo,Tajiri mzembe,kipofu,mkimbia fursa hayo yangemfaa zaidi.
Hayo ni maoni yangu tu,mjumbe hauwawi.
Sio kufanya ngono....K
wahiyo kufanya ngono ndiyo ujanja wa watu wa kusini?
Maanina 😂😂😂😂Acha kujitekenya na kucheka. Eti wanawake wa siku hizi. Na mama yako yumo?
HahahahahSio kufanya ngono....
Kushindwa tu kudeal na situation ndogo kama hiyo na kuja kulalamika mitandaoni inaonyesha kuna kitu hakipo sawa kwako.
Napenda wanawake wa aina hiyo. Unasikia twende ukanito.... Au anakutumia papa limeloa uamue mwenye kujumlisha ama kutoa.Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti
Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi kufanya ngono na wala hawajahi kuexperience haya Mambo ndiyo aniombe sex? Yaani yeye muda mwingi story zake ni sex,sex,sex mpaka kero aisee.Wanawake wa siku hizi kuweni na aibu basi sisi tulizoea mwanaume ndiyo amuombe sex mwanamke kwasasa ni kinyume chake shame on you
Kwasasa sitaki kushiriki ngono mpaka nioe na sihitaji kuikaribia zinaa mpaka nihakikishe nipo kwenye ndoa full stop sasa yeye baada ya Kuambiwa hivyo anasema alikuwa ananitania tu eti hamaanishi aisee!
Weka namba yake tumchambe vizuri.huyo Malaya au NI pm na namba yake.Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti
Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi kufanya ngono na wala hawajahi kuexperience haya Mambo ndiyo aniombe sex? Yaani yeye muda mwingi story zake ni sex,sex,sex mpaka kero aisee.Wanawake wa siku hizi kuweni na aibu basi sisi tulizoea mwanaume ndiyo amuombe sex mwanamke kwasasa ni kinyume chake shame on you
Kwasasa sitaki kushiriki ngono mpaka nioe na sihitaji kuikaribia zinaa mpaka nihakikishe nipo kwenye ndoa full stop sasa yeye baada ya Kuambiwa hivyo anasema alikuwa ananitania tu eti hamaanishi aisee!
Mwanamke wa hivyo anipite mbali kabisaUko sahihi.
Na pia wanakuwaga na wivu mbaya hakuachii upenyo hata kidogo.
Haoni shida asubuhi kukusindikiza hadi kazini kwako na jioni anakufuata kazini mnarudi wote hadi nyumbani ili mradi usipate upenyo wa kuongea na mwanamke mwingine.
Kwa haraka haraka watu wengi wanaweza kudhani kwamba huyo mwanamke ni malaya kumbe hapana hao ni aina ya wanawake ambao wamelelewa kwenye lifestyle ya kizungu yaani hawapendi unafiki wa kujjfanya hataki wakati anataka hawapendi kujitesa kwa kufichaficha mambo wanafunguka tu na ukiona hadi amekutamkia hivyo ujue alishakuchunguza siku nyingi na akakuona unamfaa kwa maisha yake na ndoto zake za baadae so hataki kujivunga jimbo liwaiwe na watu wengine.
Ubaya wa wanawake wa sampuli hii ukiwatenda vibaya au ukimuacha ghafla hawachelewi kunywa sumu au kupata kichaa cha mapenzi.
Mkubalie utakijuaKitu
Kipi?
Hebu weka namba yake hapa wazee wamkanye😎😎Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti
Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi kufanya ngono na wala hawajahi kuexperience haya Mambo ndiyo aniombe sex? Yaani yeye muda mwingi story zake ni sex,sex,sex mpaka kero aisee.Wanawake wa siku hizi kuweni na aibu basi sisi tulizoea mwanaume ndiyo amuombe sex mwanamke kwasasa ni kinyume chake shame on you
Kwasasa sitaki kushiriki ngono mpaka nioe na sihitaji kuikaribia zinaa mpaka nihakikishe nipo kwenye ndoa full stop sasa yeye baada ya Kuambiwa hivyo anasema alikuwa ananitania tu eti hamaanishi aisee!
Tabia gani..?Ukiombwa jua wewe ni rijali na anayekuomba ameshapewe story kuwa wewe una tabia ya kuwafikisha watu kileleni 😎.