Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti

Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi kufanya ngono na wala hawajahi kuexperience haya Mambo ndiyo aniombe sex? Yaani yeye muda mwingi story zake ni sex,sex,sex mpaka kero aisee.Wanawake wa siku hizi kuweni na aibu basi sisi tulizoea mwanaume ndiyo amuombe sex mwanamke kwasasa ni kinyume chake shame on you

Kwasasa sitaki kushiriki ngono mpaka nioe na sihitaji kuikaribia zinaa mpaka nihakikishe nipo kwenye ndoa full stop sasa yeye baada ya Kuambiwa hivyo anasema alikuwa ananitania tu eti hamaanishi aisee!
Kama hujazoe nenda kajizoeshe pale Sinza Kona Bar wanaomba mpk inashangaza 😛
 
Nipe Namba yake nimpe jibu ambalo hatowahi kukusahau!!
 
A

Kwa mwanamke aibu ila kwa mwanaume ushujaa dohh Dunia inaenda Kasi sana☺️
 
Ila ke anaekutaka hadi anafikia hatua hiyo ya kukuweka wazi ni hatari sana, bora wale wanaonesha kwa vitendo. Hawa wakukufungukia kabisa wengi huwa hawana namna, na ukiwa nae kwenye mahusiano atatumia nguvu kubwa sana ili uzidi kubaki nae hata kama hakustahili.
Ishawahi kukutokea?
 
Huwa sikasiriki kwa vitu vidogo kama hivyo mdogo wangu, kwenye maisha nimesha deal na watu more worse na psychopath kuliko.
Huyu hana u worse wowote ule ni utoto tu unamsumbua
 
Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti

Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi kufanya ngono na wala hawajahi kuexperience haya Mambo ndiyo aniombe sex? Yaani yeye muda mwingi story zake ni sex,sex,sex mpaka kero aisee.Wanawake wa siku hizi kuweni na aibu basi sisi tulizoea mwanaume ndiyo amuombe sex mwanamke kwasasa ni kinyume chake shame on you

Kwasasa sitaki kushiriki ngono mpaka nioe na sihitaji kuikaribia zinaa mpaka nihakikishe nipo kwenye ndoa full stop sasa yeye baada ya Kuambiwa hivyo anasema alikuwa ananitania tu eti hamaanishi aisee!
Dogo mbona mshamba kihivyo, kuna shida gani mwanamke kukuomba kumlala? Unaacha kufurahia kakusaidia kujitongozesha kwako wewe unashangaa, vijana wa Dar bwana.
 
Back
Top Bottom