Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

Kweli penye miti hapana wajenzi!.
Jamaa anajitunza kwaajili ya mke wake mtarajiwa. I wonder if mke mrarajiwa huko aliko anajitunza kwaajili yake
 
Acha kutudhalilisha watu wa kusini..... hakuna wanaume wa hivyo.

Unastahili kutandikwa viboko vingi sana
Ni kweli aisee hilo jina lake linaaibisha watu wengi ni bora angebadilisha atumie majina kama Pimbi,Kihiyo,Tajiri mzembe,kipofu,mkimbia fursa hayo yangemfaa zaidi.
Hayo ni maoni yangu tu,mjumbe hauwawi.
 
Sasa si ukae nae mbali tu na hili linahitaji ushauri!! 😁😁
 
Jamaa anajitunza kwaajili ya mke wake mtarajiwa. I wonder if mke mrarajiwa huko aliko anajitunza kwaajili yake
Hii tunaita samaleko...🀣
 
Kwah
Ni kweli aisee hilo jina lake linaaibisha watu wengi ni bora angebadilisha atumie majina kama Pimbi,Kihiyo,Tajiri mzembe,kipofu,mkimbia fursa hayo yangemfaa zaidi.
Hayo ni maoni yangu tu,mjumbe hauwawi.
iyo kisa mimi ni tajiri nifanye ngono kisa nina hela?
 
Binti amezidiwa wewe mpe haki yake anateseka
 
Schizop
Huwa sikasiriki kwa vitu vidogo kama hivyo mdogo wangu, kwenye maisha nimesha deal na watu more worse na psychopath kuliko.
Ataumiaje wakati na yeye anatumia haloperidol na diazepam ili alale?
 
Kwah
iyo kisa mimi ni tajiri nifanye ngono kisa nina hela?
Kwa excuse ipi kwa mfano,una mke mwingine na familia?Hata kama ukisema wewe ni mtu wa Mungu unafuata maandiko yanavyotaka basi kuna hatua za kufanya ili usivunje amri ya kosa la kuzini ila wewe hukufanya hivyo ukaruka futi 100 ndio maana watu wanakushangaa,hakuna asiyejua kuwa kuzini ni dhambi.
 
Hilo ni jambo la kawaida sana kumbuka wanawake nao wana feeling.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…