Nimeshawasilisha barua ya mashtaka dhidi ya Rais Samia kwenye mahakama ya The Hague ICC

Nimeshawasilisha barua ya mashtaka dhidi ya Rais Samia kwenye mahakama ya The Hague ICC

Mkuu, barua yangu ilipokelewa kama zilivyopokelewa barua zingine na naamini nayo imeongeza uzito.

Hatua zinochukuliwa mnoziona za ICC zikiwemo za kusogea Nairobi, zatokana na uzito wa barua na uzito wa ushahidi unopelekwa kule Tne Hague.
All the best
 
Sio mayai najua umetumia chatgpt hata ww unajua hiloo natumia sana ofisini

Nimetumia "Canva" ambayo huandika barua zinotokana na "draft" yako.

Hii "tool" huchambua maelekezo yako wataka barua yako iwe na maudhui gani (kwa maneno yako weye mwenyewe).

Hivyo uzito,ujazo na ujumbe unokusudia wa barua unouweka ndo matokeo bora zaidi.

Ila situmii ChatGpt.

Nakumbuka miaka hiyo tulipokuwa vyuoni tulikuwa ( A level nilichukua mchepuo wa HGL) tukijifunza kuandika draft kwanza kabla ya content nzima, hivyo leo tuna tools kama hizo zasaidia sana.

Na miaka hiyohiyo wapo watu walikuwa wakimaliza vyuo hata pale UDMS lakini hawafahamu kuandika hata barua ya kuomba kazi.
 
Back
Top Bottom