Sitauliza zaidi ya hapo.Nimetumia njia ya kupeleka barua kwenye dawati la mapokezi
Sitauliza zaidi ya hapo.Nimetumia njia ya kupeleka barua kwenye dawati la mapokezi
Sikuhoji chochote juu yako mkuu 'Richard', kama nilivyo jieleza kwenye bandiko lile; na haya unayonieleza hapa ni kama unamweleza mtu uliyrekuwa naye darasani mwako.🙂
Kuna mtu nilimjibu huko juu kwamba wakati nasoma miaka hiyo ChartGPT haikuwepo hivyo kiingereza kilikuwa ni lazima katika kuandika khasa dissertations. Tulikuwa twaandika sana essays hivyo zilinijenga katika kuandika.
Pili, mimi nimesoma seminary hivyo kiingereza kilikuwa ni lugha ya mawasiliano mahali pale na tulizoea sana kutokana na kufanya mijadala.
Moja ya mambo muhimu tulojifunza pale ni nidhamu na kuheshimu watu hata kama mtu huyo hawi rafiki mzuri.
Kwenye maisha halisi mie ni mtu naheshimwa sana mahali nilipo.
Mkuu usiandike kishabiki based na stories na clips za mitandaoni.Kwamba haujaona watu wanakimbia wanafyatuliwa risasi za mgongo?
Unajua maana ya mtu kukimbia na kukupa mgongo? Maana yake ni kuwa ameretreat! Huko CCP- Moshi mnawafundisha nini polisi wetu kuhusu mtu aliyeretreat?
Haujaona clips za watu wenye mitutu wakiwa mitaani wakifyatua risasi vichochoroni, vichochoro vilivyowazi havina watu (Video zimerekodiwa kutoka juu na zinaonesha mitaa iko wazi) Walikusudia hizo risasi zimpate nani?
Hii kauli ya kuchekewa/kuachwa tu mmeipatia wapi kwasababu ni kauli ya kipuuzi kupata kutumiwa katika muktadha huu, Kuna mwenzio nimemuuliza mbadala wa kutokuachwa ni kupigwa risasi ya moto? Jeshi lote la polisi lilikaa likaona mbadala wa kutokuachwa wale “wahalifu” ni kupigwa risasi?? Jibu hili swali uoneshe umma akili zako zinapokaa.
Kama ninyi ndio watu mnaomzunguka Rais au wenye nafasi za uongozi mbalimbali, haishangazi kuona tuna serikali ya aina hii.
You people are very selfish, ignorant and barbaric.
Kwaiyo ndo iwauweMkuu usiandike kishabiki based na stories na clips za mitandaoni.
Uliza watu waliokuwa on the ground unbiased.
Vijana walikuwa wanatoka tu, wanaweka Road blocks , kwa kuchoma magogo na matairi.
Wakifuatwa wanakimbia na kurusha mawe.
Niambie hapo kama state ingefanya nini kulinda innocent citizens?
Wachunguzi kutoka ICC wametua jijini Nairobi na kazi itaanza muda si mrefu.
labda ndo wale wenye id zaidi ya moja sasa kajisahau kulog out hiyo id ya kichawa!Hiyo ID yako na ulichoandika ni mbingu na ardhi.
Umesikiliza hotuba ya raisi wako bungeni?Mkuu usiandike kishabiki based na stories na clips za mitandaoni.
Uliza watu waliokuwa on the ground unbiased.
Vijana walikuwa wanatoka tu, wanaweka Road blocks , kwa kuchoma magogo na matairi.
Wakifuatwa wanakimbia na kurusha mawe.
Niambie hapo kama state ingefanya nini kulinda innocent citizens?
Mkuu, ID yangu ni hi tangia Jambo Forums, haijabadilika.labda ndo wale wenye id zaidi ya moja sasa kajisahau kulog out hiyo id ya kichawa!
Asante sana dada Kiziwi kwa ufafanuzi mzuri kuhusiana na hali halisi ya operation ile ya kishetani dhidi ya raia.Kwamba haujaona watu wanakimbia wanafyatuliwa risasi za mgongo?
Unajua maana ya mtu kukimbia na kukupa mgongo? Maana yake ni kuwa ameretreat! Huko CCP- Moshi mnawafundisha nini polisi wetu kuhusu mtu aliyeretreat?
Haujaona clips za watu wenye mitutu wakiwa mitaani wakifyatua risasi vichochoroni, vichochoro vilivyowazi havina watu (Video zimerekodiwa kutoka juu na zinaonesha mitaa iko wazi) Walikusudia hizo risasi zimpate nani?
Hii kauli ya kuchekewa/kuachwa tu mmeipatia wapi kwasababu ni kauli ya kipuuzi kupata kutumiwa katika muktadha huu, Kuna mwenzio nimemuuliza mbadala wa kutokuachwa ni kupigwa risasi ya moto? Jeshi lote la polisi lilikaa likaona mbadala wa kutokuachwa wale “wahalifu” ni kupigwa risasi?? Jibu hili swali uoneshe umma akili zako zinapokaa.
Kama ninyi ndio watu mnaomzunguka Rais au wenye nafasi za uongozi mbalimbali, haishangazi kuona tuna serikali ya aina hii.
You people are very selfish, ignorant and barbaric.
Chatgpt ...mkuuu umeandikia ila hoja yako naunga mkono safiShukrani mkuu kwa compliment.
Huwa situmii kiingereza sana lakini nikikasirishwa na jambo na nikipata mai ya kutosha, basi huamua kudondosha nondo kama hizi.
Innocent civilians hao vijana ni wapi walishambulia raia i was there jombi tena mbele tuliongozwa na gari la jeshi guess what tumefika conway hotel dar tukakutana na roadblock ya mabandits gari ya jeshi ikasonga mbele waaandamanaji wakabaki akatoka kiongozi wa bandits akasema neno moja tu tawanyikaaa na kiswahil hajui vizuri kilichofuata risasi zilimiminwa pale kama wanaua mazombi. Ajabu alikuwa askari mmoja kavalia mkanda wa risasi kabisa walikufa watu chini ya mia pale. Nenda pale conway magomeni kagera kaulize kilichotokeaMkuu usiandike kishabiki based na stories na clips za mitandaoni.
Uliza watu waliokuwa on the ground unbiased.
Vijana walikuwa wanatoka tu, wanaweka Road blocks , kwa kuchoma magogo na matairi.
Wakifuatwa wanakimbia na kurusha mawe.
Niambie hapo kama state ingefanya nini kulinda innocent citizens?
Hapana kuna jamaa yupo ni diaspora wanashusha barua za hatari nyingine zimeenda ikulu,zingine kwa vatcan, zingine Icc yani ni hatari na nusuChatgpt ...mkuuu umeandikia ila hoja yako naunga mkono safi
One step at a time, mdogomdogo tutafika tu. Justice will prevail.ICC wamenithibitishia kuwa tiyari wana barua kadhaa kutoka kwa watanzania akiwemo mzee Malisa ambae ndiye alielianzisha ambazo zalingana na barua yangu na kwamba wapo wakisubiri barua zaidi na ushahidi wa kutosha.
Hizi ni barua za tuhuma na hadi hapo ICC watapofungua jalada la kesi bado mhuhumiwa atabaki kuwa kama alivyo.
Wasojulikana wote wapo kwenye uchunguzi kuwabaini na pia kukusanya kila aina ya ushahidi yakiwemo matumizi ya silaha za moto dhidi ya raia.
Hiyo hapo chini ni barua yangu mie na kwa uzuri yajieleza.
Tungeenda kuona hao wasojulikana wakikamatwa wote na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria sambamba na mfadhili wao mkuu.
Nimesikitishwa sana na mambo ambayo serikali ya Samia Suluhu Hassan imeyafanya baada ya kuwa na matarajio makubwa kwake kwamba angefanya kitu chaitwa "healing the nation" baada ya maswahiba na madhila ya serikali ya awamu ya 5 yeye akiwa ni makamu wa raisi.
Badala yake tumeona mambo ya ajabu yakitokea na kwa namna yoyote ile mauaji ya tarehe 29 hadi 30 Octoba yastahiki kurunzi kubwa juu ya dhamira ya raisi Samia.
Soma barua yangu ambayo ipo The Hague tiyari.
To: Office of the Prosecutor
International Criminal Court
The Hague.
Kingdom of Netherlands.
Subject: Submission of Evidence – Crimes Against Humanity by Samia Suluhu Hassan President of United Republic of Tanzania.
Dear Prosecutor,
I am writing to formally submit information regarding alleged crimes against humanity committed by Samia Suluhu Hassan, currently serving as President of United Republic of Tanzania.
Between 7th July 2024 and 3rd November 2025, Samia Suluhu Hassan has overseen or directed actions that constitute crimes against humanity including:
Mass killings of civilians in Dar-es-Salaam, Arusha, Mbeya, Songwe and Mwanza between 29th and 30th October 2025.
Systematic torture and imprisonment of political opponents including Tundu Lissu, John Heche, and abduction of former Ambassador to Malawi and Cuba and also former CCM senior official Humphrey Polepole who was abducted in early hours of Monday 6th October 2025 and his whereabout is unknown until today , and large number young activists who were also abducted and disappear from various locations in the country.
Forced displacement of ethnic groups -Maasai in Ngorongoro in Simanjiro Distric in Manyara Region from their ancestor land which is known as Maasai Boma.
These actions appear to be part of a widespread and systematic attack against civilian populations and targeted individuals, in violation of Article 7 of the Rome Statute.
I am submitting the following materials:
All evidence has been verified to the best of my ability and is attached in digital format.
- Eyewitness testimonies from survivors and local residents - Sativa who was abducted tortured and later abandoned in Katavi forests in South West of the country, Mr Augustin Polepole who is the brother of Humphrey Polepole and residents from high rise buildings.
- Photographic and video documentation of attacks and aftermath Source: JF, X, YouTube, BBC, Aljazeera and CNN
- Official documents and communications implicating senior officials (Mafwele Audio which has been translated from swahili to english and has subtitles) instructing more abductions.
- Reports from NGOs and journalists corroborating the events Amnesty International, Human rights Watch.
I respectfully urge the Office of the Prosecutor to:
I am prepared to cooperate fully and provide additional information as needed.
- Open a preliminary examination into these allegations.
- Investigate the role of President Samia Suluhu Hassan and other senior officials including Mohammed Mchengerwa who is minister for local governments, Innocent Bashungwa who is the Minister for Home Affairs responsible for controlling police actions, Mr Mahmoud Thabit Kombo the Foreign Minister who went to BBC to give false narratives regarding true number of people who were killed, Camilius Wambura who is the Inspector General of Police, Dar-es-salaam Regional Police Commander Jumanne Muliro and Commissioner of Police Faustine Mafwele who is responsible for police brutal operations in various locations in the country.
- That president of Republic of Uganda provided assistance with significant number of mercenaries to enter Tanzanian territory via Kagera Region in North West of the country prior the election date which was 29th October 2025 to carry out operations against citizen of United Republic of Tanzania.
- Shutting down internet to deny access of information, cutting off electricity in some capacity in certain areas in order to conceal the crimes of police and give landscape for henchmen to shoot randomly towards members of public in clear violation of human rights, systematic violence against the citizens and targeting sections of society particularly youths.
- Take appropriate steps to ensure accountability and justice.
Sincerely,
K. Richard
Concerned Citizen of United Republic of Tanzania.