Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
- Thread starter
- #21
Bado mpaka sasa isipokuwa viongozi wa vita yaani warlords kama Charles Taylor, na raisi wa Serbia na ilokuwa Yugoslavia Slobodan Milosevic. Pia aliekuwa raisi wa Philippines bwana Duterte.Mkuu hongera, lakini hii mahakama imewahi kumfunga Rais gani?
Hata hivyo utaratibu wao ICC ni kwamba kwanza huanza na uchunguzi wa awali yaani "preliminary examination".
Malengo halisi ya hatua hii ni kushinikiza serikali ya nchi husika ifanye uchunguzi wa madai yalotolewa yenyewe kwa watu wote walohusika kufanya uhalifu huo ndani ya mipaka ya nchi husika.
Baada ya hapo ifisi ya mwendesha mashtaka (Office of The Prosecutor) itaamua kuanza uchuguzi (investigation) kulingana na kiwango cha ushahidi na vielelezo vyote ambavyo vyakidhi matakwa ya mkataba wa Rome.