antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
👇Hizo picha kwa JF ziwe na mada yake na kwengine kuwe na utaratibu wa kuzikusanya kwa ushahidi wa mahakama yeyote duniani
👇Hizo picha kwa JF ziwe na mada yake na kwengine kuwe na utaratibu wa kuzikusanya kwa ushahidi wa mahakama yeyote duniani
Mkuu,matukio kama yalotokea tarehe 29 na 30 Octoba
Naandaa barua iende kwa Trump na JD Vance,wewe unafanya nini?ww umechukua hatua gan ? kupiganiwa ?
"Nidhamu ya kijeshi" dhidi ya wananchi, waTanzania? Nasikitika sana juu ya hii nidhamu ya kijeshi unayo izungumzia hapa!Siamini kama wanajeshi wa Tanzania wenye nidhamu ya kijeshi wanaweza kuwa wapumbavu vile.
Ndiyo maana shughuli za kukusanya ushahidi kamili ni endelevu.Mkuu,
Siyo siku hizo mbili pekee.
Kwa mfano, kuna jamaa anakaa maeneo ya Bonyokwa ambako hakukuwa na vurugu wala maandamano, ila alinusurika kuliwa kichwa tarehe 1/November/2025.
Ilikuwa hivi, baadhi ya watu walihisi kuwa kufikia tarehe hiyo mambo yamepoa, wakawa wanaanza kwenda kwenye centre ya hapo kutafuta mahitaji. Mara gari ya policcm ikafika ghafla mida ya saa 6 mchana, risasi zikarushwa kwa watu, watu wakakimbilia vichochoroni chap, ila watu 8 waliuawa pale pale.
Nisikia hata Kinyerezi ilikuwa hivyo
Shukrani mkuu kwa compliment.
Huwa situmii kiingereza sana lakini nikikasirishwa na jambo na nikipata mai ya kutosha, basi huamua kudondosha nondo kama hizi.
Hulazimishwi kuzifungua na kuziangalia. Sasa sielewi tatizo kwako ni nini.Jamani inatosha mjipange sasa, tuhuruminieni zikusanyeni tu na kuzipeleka kunako husika. Kwa wengine hizo images zinaanza kuwa very disturbing ukizikuta bila ya warning.
Tupo pamoja na wewe kiongozi.Mkuu, nipo kwenye hatua za kati za kuweka "News Feeder" au Aggregator ambayo itakuwa "dedicated" kwa ajili ya mambo kama haya. Nipo kwenye mazungumzo na host ambayo itakuwa katika moja ya nchi rafiki.Watu wataweza kutuma taarifa humo na zitapangwa kulingana na siku ya tukio na tarehe.
Naangalia uwezekano wa kutumia RSS (Really Simpe Syndication) pekee kutoka kwenye vyanzo vilivyopo tiyari kama JF au pia kuwa na feeder ya pili ambayo itakuwa na habari nyingi za uchambuzi "from scratch" hii yaitwa RSS feed generator lakini ni lazima utumie mafaili yenye XML code.
Hata hivyo zipo good news kwenye suala la kutuma picha na video za matukio kama yalotokea tarehe 29 na 30 Octoba kwamba ipo App iitwayo Eye Witness App ambayo yapatikana hapa: New Resource: Practical guide on when to use the eyeWitness to Atrocities app
App hii ipo katika Google Store hivyo kuwa rahisi kupatikana kwa watumiaji wengi wa simu za Android.
Maelekezo yote ya namna ya kutumia App hii yapatikana hapa : https://www.eyewitness.global/documents/2023-eyeWitness-new-resource-launch.pdf
Hivyo hili suala si la kulifumbia macho ni lazima serikali zetu za kiafrika zijifunze kwa lazima kuheshimu haki za binadamu na kufuata sheria zote za ndani na sheria za kimataifa.
Mkuu 'Richard',To: Office of the Prosecutor
International Criminal Court
The Hague.
Kingdom of Netherlands.
Subject: Submission of Evidence – Crimes Against Humanity by Samia Suluhu Hassan President of United Republic of Tanzania.
Samahani.CC wamenithibitishia kuwa tiyari wana barua kadhaa kutoka kwa watanzania akiwemo mzee Malisa ambae ndiye alielianzisha ambazo zalingana na barua yangu na kwamba wapo wakisubiri barua zaidi na ushahidi wa kutosha.
EEeeenHeEEeeEEh!Mkuu una kingereza kizuri Richard
🙂EEeeenHeEEeeEEh!
Bila kupunguza chochote katika juhudi anazofanya mkuu 'Richard', ni vizuri pia kujuwa kuwa ChartGPT ni rafiki mzuri sana kwenye maswala ya namna hiyo.
Kwamba haujaona watu wanakimbia wanafyatuliwa risasi za mgongo?So far hakuna vitendo vya kuifanya ICC iingilie kati.
Yaliyopo ni matokeo ya vyombo vya ulinzi kupambana na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Jeshi la polisi lina majukumu ya kulinda raia na mali zake.
Pale inapotokea kuna watu wanataka kuondoa amani kwa raia wengine kufanya shughuli zao za kila siku, wanapaswa kuingilia na kurejesha utulivu.
Hao vijana hawajawahi kupeleka madai yao yeyote popote na kutosikilizwa.
Hivyo wanachokifanya ni uhuni tu na wanapaswa kuadhibiwa.
Huwezi amka tu kwako ukaenda barabarani, ukaweka mawe , ukachoma miundo mbinu, hatujui ni kwanini unafanya hivyo, halafu uachwe tu, hiyo sio sawa. Na sidhani kama kuna serikali yeyote itaacha hilo litokee.
Nimetumia njia ya kupeleka barua kwenye dawati la mapokezi na pia pana Link.Mkuu 'Richard',
Natanguliza samahani yangu, kwako; hasa kuhusu jambo hili zito sana linalotuhusu waTanzania wote.
Nauliza tu, hii barua umeipeleka kwa njia gani huko ICC; kuhakikisha kwamba itafika na itapokelewa kwenye ofisi sahihi na wahusika wa ofisi hiyo.. Au umeituma kwa njia ya 'internet? Au kupitia Ubalozi wa Uholanzi hapa nchini?
Sihoji nia yako njema, la hasha. Natamani tu juhudi hizi zifanikiwe na kuzaa matunda mema kwetu sote; lakini ni muhimu pia kuwa na hakika kwamba tunayoyafanya, tunayafanya kwa usahihi.
Hii barua uliwakabidhi kwa mkono, au uliiwasilisha kwa wawakilishi wao hapa, kama wanayo ofisi hapa?
Amina Amina ndugu, tupo pamoja.Tupo pamoja na wewe kiongozi.
Mungu akutangulie kwa elimu uliyonayo basi itumie kuwasemea watu wa mungu kupigania haki.
Silaa yako ni kalamu na akili yako. Mungu akulinde. Watu wameumia sana sana ndani ya mioyo yao
ICC haina uwezo wa kuingilia kati hayo si majukumu yake.So far hakuna vitendo vya kuifanya ICC iingilie kati.
Yaliyopo ni matokeo ya vyombo vya ulinzi kupambana na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Jeshi la polisi lina majukumu ya kulinda raia na mali zake.
Pale inapotokea kuna watu wanataka kuondoa amani kwa raia wengine kufanya shughuli zao za kila siku, wanapaswa kuingilia na kurejesha utulivu.
Hao vijana hawajawahi kupeleka madai yao yeyote popote na kutosikilizwa.
Hivyo wanachokifanya ni uhuni tu na wanapaswa kuadhibiwa.
Huwezi amka tu kwako ukaenda barabarani, ukaweka mawe , ukachoma miundo mbinu, hatujui ni kwanini unafanya hivyo, halafu uachwe tu, hiyo sio sawa. Na sidhani kama kuna serikali yeyote itaacha hilo litokee.
Hongera.ICC wamenithibitishia kuwa tiyari wana barua kadhaa kutoka kwa watanzania akiwemo mzee Malisa ambae ndiye alielianzisha ambazo zalingana na barua yangu na kwamba wapo wakisubiri barua zaidi na ushahidi wa kutosha.
Hizi ni barua za tuhuma na hadi hapo ICC watapofungua jalada la kesi bado mhuhumiwa atabaki kuwa kama alivyo.
Wasojulikana wote wapo kwenye uchunguzi kuwabaini na pia kukusanya kila aina ya ushahidi yakiwemo matumizi ya silaha za moto dhidi ya raia.
Hiyo hapo chini ni barua yangu mie na kwa uzuri yajieleza.
Tungeenda kuona hao wasojulikana wakikamatwa wote na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria sambamba na mfadhili wao mkuu.
Nimesikitishwa sana na mambo ambayo serikali ya Samia Suluhu Hassan imeyafanya baada ya kuwa na matarajio makubwa kwake kwamba angefanya kitu chaitwa "healing the nation" baada ya maswahiba na madhila ya serikali ya awamu ya 5 yeye akiwa ni makamu wa raisi.
Badala yake tumeona mambo ya ajabu yakitokea na kwa namna yoyote ile mauaji ya tarehe 29 hadi 30 Octoba yastahiki kurunzi kubwa juu ya dhamira ya raisi Samia.
Soma barua yangu ambayo ipo The Hague tiyari.
To: Office of the Prosecutor
International Criminal Court
The Hague.
Kingdom of Netherlands.
Subject: Submission of Evidence – Crimes Against Humanity by Samia Suluhu Hassan President of United Republic of Tanzania.
Dear Prosecutor,
I am writing to formally submit information regarding alleged crimes against humanity committed by Samia Suluhu Hassan, currently serving as President of United Republic of Tanzania.
Between 7th July 2024 and 3rd November 2025, Samia Suluhu Hassan has overseen or directed actions that constitute crimes against humanity including:
Mass killings of civilians in Dar-es-Salaam, Arusha, Mbeya, Songwe and Mwanza between 29th and 30th October 2025.
Systematic torture and imprisonment of political opponents including Tundu Lissu, John Heche, and abduction of former Ambassador to Malawi and Cuba and also former CCM senior official Humphrey Polepole who was abducted in early hours of Monday 6th October 2025 and his whereabout is unknown until today , and large number young activists who were also abducted and disappear from various locations in the country.
Forced displacement of ethnic groups -Maasai in Ngorongoro in Simanjiro Distric in Manyara Region from their ancestor land which is known as Maasai Boma.
These actions appear to be part of a widespread and systematic attack against civilian populations and targeted individuals, in violation of Article 7 of the Rome Statute.
I am submitting the following materials:
All evidence has been verified to the best of my ability and is attached in digital format.
- Eyewitness testimonies from survivors and local residents - Sativa who was abducted tortured and later abandoned in Katavi forests in South West of the country, Mr Augustin Polepole who is the brother of Humphrey Polepole and residents from high rise buildings.
- Photographic and video documentation of attacks and aftermath Source: JF, X, YouTube, BBC, Aljazeera and CNN
- Official documents and communications implicating senior officials (Mafwele Audio which has been translated from swahili to english and has subtitles) instructing more abductions.
- Reports from NGOs and journalists corroborating the events Amnesty International, Human rights Watch.
I respectfully urge the Office of the Prosecutor to:
I am prepared to cooperate fully and provide additional information as needed.
- Open a preliminary examination into these allegations.
- Investigate the role of President Samia Suluhu Hassan and other senior officials including Mohammed Mchengerwa who is minister for local governments, Innocent Bashungwa who is the Minister for Home Affairs responsible for controlling police actions, Mr Mahmoud Thabit Kombo the Foreign Minister who went to BBC to give false narratives regarding true number of people who were killed, Camilius Wambura who is the Inspector General of Police, Dar-es-salaam Regional Police Commander Jumanne Muliro and Commissioner of Police Faustine Mafwele who is responsible for police brutal operations in various locations in the country.
- That president of Republic of Uganda provided assistance with significant number of mercenaries to enter Tanzanian territory via Kagera Region in North West of the country prior the election date which was 29th October 2025 to carry out operations against citizen of United Republic of Tanzania.
- Shutting down internet to deny access of information, cutting off electricity in some capacity in certain areas in order to conceal the crimes of police and give landscape for henchmen to shoot randomly towards members of public in clear violation of human rights, systematic violence against the citizens and targeting sections of society particularly youths.
- Take appropriate steps to ensure accountability and justice.
Sincerely,
K. Richard
Concerned Citizen of United Republic of Tanzania.