Nimetumia "Canva" ambayo huandika barua zinotokana na "draft" yako.
Hii "tool" huchambua maelekezo yako wataka barua yako iwe na maudhui gani (kwa maneno yako weye mwenyewe).
Hivyo uzito,ujazo na ujumbe unokusudia wa barua unouweka ndo matokeo bora zaidi.
Ila situmii ChatGpt.
Nakumbuka miaka hiyo tulipokuwa vyuoni tulikuwa ( A level nilichukua mchepuo wa HGL) tukijifunza kuandika draft kwanza kabla ya content nzima, hivyo leo tuna tools kama hizo zasaidia sana.
Na miaka hiyohiyo wapo watu walikuwa wakimaliza vyuo hata pale UDMS lakini hawafahamu kuandika hata barua ya kuomba kazi.