Nimeshikwa na butwaa baada ya kuambiwa kuwa huyu mchezaji mpya wa Yanga ana miaka 18

Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo?

Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba
 
Hata mimi wakati tunasaka ajira sehemu kuna mwenzetu mmoja alikua bonge na usipomchanganyia macho unaweza kudhani mzee.
Nilipomuona nikajiuliza huyu anakuja kutafuta nini huku?
Baada ya kupata ajira na kuzoeana nae nikagundua kumbe mimi ni mkubwa kuliko yeye.
 
😂😂
 
Makolo nawakumbusha dirisha la usajili limefunguliwa jana, wenzenu tumeanza kusajili nyinyi mko bize na misondo, baadae mkifanya vibaya muanze kuwalalamikia mangungu na mo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…