Nimeshikwa na butwaa baada ya kuambiwa kuwa huyu mchezaji mpya wa Yanga ana miaka 18

Nimeshikwa na butwaa baada ya kuambiwa kuwa huyu mchezaji mpya wa Yanga ana miaka 18

Muache kukisia umri wa watu kwa macho. Maumbo yanatofautiana. Mimi nikiwa kidato cha Tano nilikuwa Nina miaka 18, lakini picha zangu huyo anaonekana mdogo tu, bahati mbaya siwezi kuzituma humu. Kuna watu tuna miili mikubwa hata usiseme. Japo kweli baadhi wanafoji miaka, ila uthibitisho unahitajika.
Hata mimi wakati tunasaka ajira sehemu kuna mwenzetu mmoja alikua bonge na usipomchanganyia macho unaweza kudhani mzee.
Nilipomuona nikajiuliza huyu anakuja kutafuta nini huku?
Baada ya kupata ajira na kuzoeana nae nikagundua kumbe mimi ni mkubwa kuliko yeye.
 
😂😂
 
Makolo nawakumbusha dirisha la usajili limefunguliwa jana, wenzenu tumeanza kusajili nyinyi mko bize na misondo, baadae mkifanya vibaya muanze kuwalalamikia mangungu na mo.
 
Back
Top Bottom