Vipi angekuwa ni Mzungu, ungeanzisha huu uzi wako wa kushangaa?Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo?
Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
View attachment 2844104
Hana 18 huyoVipi angekuwa ni Mzungu, ungeanzisha huu uzi wako wa kushangaa?
Yeah tabu mwili nyumba unawazingua watu.Bwana mdogo kabisa huyo hata kwa kumtazama na kama atakuwa amezidisha sana basi utakuwa miaka.miwili
25+ umeongeza chumvi. Labda kama ametokea kwenye mazingira duni. Mkadirie umri wa miaka 18-22. Ndipo anapofit.
Sema sura ya kazi acha dharau wewe🤣Wala anasura ya dhiki tu ila 18 ni sawa kabisa