Nimeshikwa na butwaa baada ya kuambiwa kuwa huyu mchezaji mpya wa Yanga ana miaka 18

Nimeshikwa na butwaa baada ya kuambiwa kuwa huyu mchezaji mpya wa Yanga ana miaka 18

Wewe ni tahira, unashanga huyo kuwa na chini ya 18!. Vipi mbona hujashanga Josh onyango kuwa under 30?, Punguza ujinga. Maisha ya Nchi za kiafrika yanajulikana unaanza kuwa mzee kisura Ila ukifanikiwa unakuwa kijana. Kama huamini katafute picha za mchambuzi OSCAR OSCAR za zamani linganisha na za Sasa!.
 
Huyu yupo 25+ huko

290056BC-AC11-474A-B57F-CB8E1CE9AB88.png
 
Mwache nusu mtu nusu chuma wetu na nyie mbaki na wenu🤔
 
Makolo acheni uchawi muacheni mtoto acheze mpira msianze kumchawia
 
Back
Top Bottom