Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Umeonyesha njia kwa wana JF - Hata mimi naanza kujiandaa kwa mwaka 2015
Hongera sana
 

Asante sana Tall...
 
Miss/Bi/mama Regia Estelatus Mtema hongera kwa ushindi wa kuwakilisha chadema
jimbo la KILOMBERO
 
Hongera sana GS kwa kujitokeza kwa jina halisi Regia Mtema, tuko pamoja.

GO Slaa GO.
 
Nawashukuru wote.Nimezingatia maoni ya wenfi humu.Nimekuja na jina langu halisi hivyo GS imeshakufa haitakuwepo tena.

Historia kwa Ufupi sana.
Kifupi mimi ni Regia Estelatus Mtema,tuko twins na dada yangu ambaye yeye ni Kulwa mimi ni Dotto.Ni Watoto wa kwanza wa Bw Estelatus Mtema.Kabila langu ni Mmbunga niliyechanganyika na Mmanda.Nimezaliwa tarehe 21/04/1980 Ocean Road Hosp Dar.

Nilivunjika mguu mwaka 1987 wakati nacheza mpira(rede) na hivyo kulazimika kukatwa mguu.

Elimu.
Nimesoma shule ya Msingi Mchikichini Dar 1989-1995
Shule ya Sekondari Forodhani Dar- 1996-1999
Shule ya Wasichana Machame Moshi-2000-2002
Elimu ya Juu,Chuo KIkuu cha Kilimo Sokoine(SUA) 2003-2006-Digrii ya Uchumi na Lishe

Joined CHADEMA 2005 baadaye nikamua kujitolea kufanya kazi Makao Makuu 2007 mpaka sasa.

Sijaolewa wala sina mtoto.

Alunta continua
 
hongera kwa ujasiri wa kujitokeza hadharani...!
tuliokuwa tunakufahamu phyisically ni wengi kidogo(hasa sisi tulio dar),kwa niaba yangu na marafiki zako wite wa dar TUNAKUPA HONGERA KWA UJASIRI MZITO ULIOUONYESHA KWENYE HII THREAD!....

tupo pamoja reggy!
I HEREBY DECLARE THAT YOU HAVE M,Y FULL SUPPORT!
 
Hongera sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Nchi ina mashimo mengi, imeharibika. tutasaidiana kuifufua.
Utadhani kulikuwepo vita vimeiharibu sasa tunaanza kufufua!
 
Safi GS, nina imani hadi october 31 wengi tutakua tumevua haya magwanda ya user names na kuweka yetu

kila la kheri
 
Nenda Regia Mtema....you got my support...
Kijana ambaye ni 'courageous' anafaa kuijenga Tanzania yenye neema!
BTW: hebu mtaje na yule secret admirer wako (joke)
 
Hongera sana....Hapa sasa You have my Full suport!!
Maana nimeshakukumbuka!! God Bless You!
 



si kashajitaja jina jamani,anaitwa REJIA MTEMA na anagombea k'mbero.
 
swali kwa mbunge mtarajiwa regina mtema why Gender Sensitive......

personally i am not gender sensitive. My approach is men and wowen are equal, what a man can do so does the woman {wanawake tunaweza jitokezeni}
 
Hongera sana Reggy! Nilisoma habari yako kwenye gazeti moja kitambo kidogo, I was very much inspired naulivyoeleza mikakati ya kugombea huko Morogoro!

Hope wananchi wa huko nao watakusupport kama members humu wanavyokuunga mkono......!Kila la kheri!
 
Hongera sasa my sister! Angalizo Kilombero CCM ameshinda Abdul Mteketa huenda akasimamishwa huyo. Huyo Pedeshee atakuchezea michezo ya kihuni kwenye kampeni, maana ni muhuni kweli kweli na pesa anayo. Atahonga hata miti awe Mbunge ni rafiki pia na Muungwana, Kazi unayo u have all my support, together we can go go go go GS ndilo nililolizoea hahahaha mmmhhh usikweke kampeni manager asiye na maadili uko makini safari ndo imeanza.

MM
 
si kashajitaja jina jamani,anaitwa REJIA MTEMA na anagombea k'mbero.
Kataja jina baada ya hayo matundiko ya Kiranga.

Mtema, nadhani umefanya vema kuweka jina la ukweli kama alivyoasa Kiranga.

Kiranga kazi nzuri, kama kawaida yako unaangalia mambo mengi kwa vina na kipekee, kwa anaeweza kuruka lugha zako za jazba mara nyingine kwa wanaokuanzishia hayo au wanaokuelemea.
 

Alaaaaa! kumbe bado uko spring chicken hivyo....na wala hujaolewa....msalie mtume.....hii ungemezea......sasa ngoja nijipanga vizuri na mabomu yangu ya maangamizi
 
Hongera sana Regina Mtema You have my full support, ninajitolea kukupigia kampeni hapa Mang'ula!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…