Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Umeonyesha njia kwa wana JF - Hata mimi naanza kujiandaa kwa mwaka 2015
Hongera sana
Hongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmmh, NILIJUA MUDA SI MREFU MTAFIKIA HAPA..............ACHENI HIZO LUGHA.......USHAURI;KWA NN, KIRANGA QUININE1.VUMILIANENI
2.KAMA UNAONA JAMAA KAKUUDHI,TULIA KWA MUDA KWANZA KABLA HUJASEMA CHOCHOTE.......HASIRA IKIISHA...UNAENDELEA
3.BADO TUNAHITAJI SANA MICHANGO YENU HAPA JF.
USHAURI KWA GS
1.SIASA INA MIKIKIMIKIKI YA AJABU NA MAMBO PENGINE USIYOYATEGEMEA KABISA.
2.UTAFIKIA MAHALI UTATUKANWA,KUDHARAULIWA,KUTISHWA, NA HATA KUDHALILISHWA.....PIGA MOYO KONDE
3.USIJE UKAMKASIRIKIA AU KUMJIBU MTU YEYOTE VIBAYA KWA KUTOA MAWAZO YAKE VILE USIVYOTAKA.
NINACHOKIONA;
1.UNACHANCE KUBWA YA KUSHINDA.
2.NA UKISHINDA SINA SHAKA UTAKUWA KIONGOZI BORA.........HAYO NDIYO MAONI YANGU.
hongera kwa ujasiri wa kujitokeza hadharani...!Nawashukuru wote.Nimezingatia maoni ya wenfi humu.Nimekuja na jina langu halisi hivyo GS imeshakufa haitakuwepo tena.
Historia kwa Ufupi sana.
Kifupi mimi ni Regia Estelatus Mtema,tuko twins na dada yangu ambaye yeye ni Kulwa mimi ni Dotto.Ni Watoto wa kwanza wa Bw Estelatus Mtema.Kabila langu ni Mmbunga niliyechanganyika na Mmanda.Nimezaliwa tarehe 21/04/1980 Ocean Road Hosp Dar.
Nilivunjika mguu mwaka 1987 wakati nacheza mpira(rede) na hivyo kulazimika kukatwa mguu.
Elimu.
Nimesoma shule ya Msingi Mchikichini Dar 1989-1995
Shule ya Sekondari Forodhani Dar- 1996-1999
Shule ya Wasichana Machame Moshi-2000-2002
Elimu ya Juu,Chuo KIkuu cha Kilimo Sokoine(SUA) 2003-2006-Digrii ya Uchumi na Lishe
Joined CHADEMA 2005 baadaye nikamua kujitolea kufanya kazi Makao Makuu 2007 mpaka sasa.
Sijaolewa wala sina mtoto.
Alunta continua
Hongera sana....Hapa sasa You have my Full suport!!Nawashukuru wote.Nimezingatia maoni ya wenfi humu.Nimekuja na jina langu halisi hivyo GS imeshakufa haitakuwepo tena.
Historia kwa Ufupi sana.
Kifupi mimi ni Regia Estelatus Mtema,tuko twins na dada yangu ambaye yeye ni Kulwa mimi ni Dotto.Ni Watoto wa kwanza wa Bw Estelatus Mtema.Kabila langu ni Mmbunga niliyechanganyika na Mmanda.Nimezaliwa tarehe 21/04/1980 Ocean Road Hosp Dar.
Nilivunjika mguu mwaka 1987 wakati nacheza mpira(rede) na hivyo kulazimika kukatwa mguu.
Elimu.
Nimesoma shule ya Msingi Mchikichini Dar 1989-1995
Shule ya Sekondari Forodhani Dar- 1996-1999
Shule ya Wasichana Machame Moshi-2000-2002
Elimu ya Juu,Chuo KIkuu cha Kilimo Sokoine(SUA) 2003-2006-Digrii ya Uchumi na Lishe
Joined CHADEMA 2005 baadaye nikamua kujitolea kufanya kazi Makao Makuu 2007 mpaka sasa.
Sijaolewa wala sina mtoto.
Alunta continua
Mgombea ubunge tayari kashaonyesha kukosa umakini katika maamuzi.
Kwa upande mmoja, anataka kufanya ugombea wake ubunge kuwa siri hapa JF, hivyo hataki kutuambia jimbo wala jina lake.
Kwa upande mwingine hawezi kuwa msetiri wa habari zake, baada ya kutaka kutoanika jina na jimbo lake, anakuja JF na kutumwagia mpunga, mpaka na vidokezo vya "wilaya yenye jimbo moja" kuturahisishia kazi.
Mgombea ubunge inaonekana anashindwa mtihani mdogo tu wa maamuzi, akifika njia panda anashindwa kuchagua njia ya kwenda, akitaka kuwa msiri anaishia kutoa siri, ataweza ku deal na classified documents za vita dhidi ya ufisadi ?
Strategy iko wapi? Solid decision making iko wapi? Huu ndio uongozi mbadala tunaousubiri? Uongozi unaoogopa kivuli chake wenyewe unawezaje kusimama against the CCM apparatus of Stalinistic machinations ?
Kataja jina baada ya hayo matundiko ya Kiranga.si kashajitaja jina jamani,anaitwa REJIA MTEMA na anagombea k'mbero.
Nawashukuru wote.Nimezingatia maoni ya wenfi humu.Nimekuja na jina langu halisi hivyo GS imeshakufa haitakuwepo tena.