Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninawashukuru wote mnaonitakia mema..Niko kwenye maandalizi ya kumalizia kutengeneza local manifesto pamoja na kauli mbiu nadhani by kesho itakuwa tayari..Ilani ya uchaguzi ya Jimbo la Kilombero..
Pamoja tutashinda...
Kwa sababu JF ni janvi la wengi ningekushauri, hayo mambo yote unayoyandaa pamoja na hiyo kauli mbiu yako usiiweke adharani kwa huu muda, labda cha kufanya ni kufungua thread nyingine ambayo watu wanaweza kuchangia sera naq kauli mbiu na program nzima ya kampeni zako ambayo kutoka humo unaweza kupata kitu constructive cha kwenda nacho, na unaweza kupata especially kwa watu wale watakaoshindwa kuja KILOMBERO KUKUPIGA TAFU, kwa maAna kama tutavyojua Chadema wana sera zao za kutokea, lakini na wewe lazima ujiulize NITOKE VIPI? NI MUHIMU SASA WEWE KUWA NA SERA ZAKO AMBAZO ZITAKUBALIKA KWENYE JIMBO LAKO, MATATIZO YA KILOMBERO YAPO TOFAUTI SANA NA KARATU
NADHANI UNANIELEWA
Ninawashukuru wote mnaonitakia mema..Niko kwenye maandalizi ya kumalizia kutengeneza local manifesto pamoja na kauli mbiu nadhani by kesho itakuwa tayari..Ilani ya uchaguzi ya Jimbo la Kilombero..
Pamoja tutashinda...
Sasa bibie toka 2007 mpaka sasa udhoefu wako wa kazi ni kupanga mafaili hapo makao makuu. Kaswali kadogo tu ni lini na wapi umeitumia elimu (profession ) yako katika uchumi na lishe?
Hongera sana GS
Lakini nisingependa kukupa Hongera ila ninaahidi kukuchangia kiasi cha Shilingi 100,000/=. Nimeona kwa kipindi cha kuelekea katika uchaguzi mkuu nisitishe kuchangia Harusi na Vipaimara ili niweze kuwasuport wapambanaji kama GS
NITATOA LAKI MOJA ( 100,000/=)
GS naomba unipe namna ya kutuma hizo pesa, MPESA na nmb mobile ni convient kwangu
Asante sana na Kila la kheri
Jamani wana Jamvi, mmoja kati ya Wanajamvi Wakereketwa kabisa Gender Sensitive anagombea Ubunge katika Jimbo la Kiolmbero.
Napenda Kuchukua Fursa hii kumpongeza kwa Kuingia kwenye Kinyang'anyiro cha kutafuta Ubunge kwa Njia ya Kuchaguliwa na wananchi tofauti na wedada wengi wanaotegemea zaidi nafasi za Uteuzi kuingia Mjengoni.
Vile vile napenda kumpongeza GS kwa kupenya katika Kura za Maoni za CHADEMA na vile vile napenda kuchukua nafasi hii kukipongeza CHADEMA kwa kumuamini GS na kumkabidhi kazi ya kulichukua Jimbo la Kilombero
Dada Regia Mtema au GS atapambana na Wagombea wengine kutoka vyama mbalimbali ikiwemo CCM ambapo atapambana na Abdul Mteketa
Hongera sana GS
Lakini nisingependa kukupa Hongera ila ninaahidi kukuchangia kiasi cha Shilingi 100,000/=. Nimeona kwa kipindi cha kuelekea katika uchaguzi mkuu nisitishe kuchangia Harusi na Vipaimara ili niweze kuwasuport wapambanaji kama GS
NITATOA LAKI MOJA ( 100,000/=)
GS naomba unipe namna ya kutuma hizo pesa, MPESA na nmb mobile ni convient kwangu
Asante sana na Kila la kheri
Nami nitakuunga mkono Mkuu.
Hongera sana mama, Nami nitakupiga taf katika hilo.Kama ukihitaji taf ya mipango pia nitakuwa tayari kwa sababu niko Moro... Ikiwezekana nitahudhuria hata baadhi ya mikutano yako ya kampeni huko KL, Kila la kheri...
My nos are 0713 760534,0753 760534,0784 760534
Asanteni sana
With Love
Regia Mtema
Aisee wewe lazima uwe mchaga meku
Kwani tukimchangia tutakula pamoja?Yeye atajali tumbo na familia yake tuu hivyo wacha achape mwendo mwenyewe!Nitakachomsaidia ni kumwambia aende kule kwetu Nkasi maana wengi wa wagombea nimewaona wakishughulika kwa 'babu'