Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kila la kheri Bi. Regia, hakika wakati ufaao ndio sasa. Harakati mtaa kwa mtaa sasa mpaka Kilombero ikombolewe
 
Ninawashukuru wote mnaonitakia mema..Niko kwenye maandalizi ya kumalizia kutengeneza local manifesto pamoja na kauli mbiu nadhani by kesho itakuwa tayari..Ilani ya uchaguzi ya Jimbo la Kilombero..

Pamoja tutashinda...
 
Kwa sababu JF ni janvi la wengi ningekushauri, hayo mambo yote unayoyandaa pamoja na hiyo kauli mbiu yako usiiweke adharani kwa huu muda, labda cha kufanya ni kufungua thread nyingine ambayo watu wanaweza kuchangia sera naq kauli mbiu na program nzima ya kampeni zako ambayo kutoka humo unaweza kupata kitu constructive cha kwenda nacho, na unaweza kupata especially kwa watu wale watakaoshindwa kuja KILOMBERO KUKUPIGA TAFU, kwa maAna kama tutavyojua Chadema wana sera zao za kutokea, lakini na wewe lazima ujiulize NITOKE VIPI? NI MUHIMU SASA WEWE KUWA NA SERA ZAKO AMBAZO ZITAKUBALIKA KWENYE JIMBO LAKO, MATATIZO YA KILOMBERO YAPO TOFAUTI SANA NA KARATU
NADHANI UNANIELEWA
 
Nimekupata Mkuu..Ndio namalizia malizia...
 
Ninawashukuru wote mnaonitakia mema..Niko kwenye maandalizi ya kumalizia kutengeneza local manifesto pamoja na kauli mbiu nadhani by kesho itakuwa tayari..Ilani ya uchaguzi ya Jimbo la Kilombero..

Pamoja tutashinda...

Hongera sana rafiki yangu Regia....Kila la heri
 
Sasa bibie toka 2007 mpaka sasa udhoefu wako wa kazi ni kupanga mafaili hapo makao makuu. Kaswali kadogo tu ni lini na wapi umeitumia elimu (profession ) yako katika uchumi na lishe?
 
Kwani kupanga mafaili sio kazi...
 
Jamani wana Jamvi, mmoja kati ya Wanajamvi Wakereketwa kabisa Gender Sensitive anagombea Ubunge katika Jimbo la Kiolmbero.

Napenda Kuchukua Fursa hii kumpongeza kwa Kuingia kwenye Kinyang'anyiro cha kutafuta Ubunge kwa Njia ya Kuchaguliwa na wananchi tofauti na wedada wengi wanaotegemea zaidi nafasi za Uteuzi kuingia Mjengoni.

Vile vile napenda kumpongeza GS kwa kupenya katika Kura za Maoni za CHADEMA na vile vile napenda kuchukua nafasi hii kukipongeza CHADEMA kwa kumuamini GS na kumkabidhi kazi ya kulichukua Jimbo la Kilombero

Dada Regia Mtema au GS atapambana na Wagombea wengine kutoka vyama mbalimbali ikiwemo CCM ambapo atapambana na Abdul Mteketa

Hongera sana GS

Lakini nisingependa kukupa Hongera ila ninaahidi kukuchangia kiasi cha Shilingi 100,000/=. Nimeona kwa kipindi cha kuelekea katika uchaguzi mkuu nisitishe kuchangia Harusi na Vipaimara ili niweze kuwasuport wapambanaji kama GS

NITATOA LAKI MOJA ( 100,000/=)

GS naomba unipe namna ya kutuma hizo pesa, MPESA na nmb mobile ni convient kwangu

Asante sana na Kila la kheri
 
Kwanini usim-PM? Au ulitaka kumtambulisha gs kuwa ndiye regia! Thanx maana wote hao ni member wa jf
 
Hongera sana GS

Lakini nisingependa kukupa Hongera ila ninaahidi kukuchangia kiasi cha Shilingi 100,000/=. Nimeona kwa kipindi cha kuelekea katika uchaguzi mkuu nisitishe kuchangia Harusi na Vipaimara ili niweze kuwasuport wapambanaji kama GS

NITATOA LAKI MOJA ( 100,000/=)

GS naomba unipe namna ya kutuma hizo pesa, MPESA na nmb mobile ni convient kwangu

Asante sana na Kila la kheri

Nami nitakuunga mkono Mkuu.
 
Jamani wana Jamvi, mmoja kati ya Wanajamvi Wakereketwa kabisa Gender Sensitive anagombea Ubunge katika Jimbo la Kiolmbero.

Napenda Kuchukua Fursa hii kumpongeza kwa Kuingia kwenye Kinyang'anyiro cha kutafuta Ubunge kwa Njia ya Kuchaguliwa na wananchi tofauti na wedada wengi wanaotegemea zaidi nafasi za Uteuzi kuingia Mjengoni.

Vile vile napenda kumpongeza GS kwa kupenya katika Kura za Maoni za CHADEMA na vile vile napenda kuchukua nafasi hii kukipongeza CHADEMA kwa kumuamini GS na kumkabidhi kazi ya kulichukua Jimbo la Kilombero

Dada Regia Mtema au GS atapambana na Wagombea wengine kutoka vyama mbalimbali ikiwemo CCM ambapo atapambana na Abdul Mteketa

Hongera sana GS

Lakini nisingependa kukupa Hongera ila ninaahidi kukuchangia kiasi cha Shilingi 100,000/=. Nimeona kwa kipindi cha kuelekea katika uchaguzi mkuu nisitishe kuchangia Harusi na Vipaimara ili niweze kuwasuport wapambanaji kama GS

NITATOA LAKI MOJA ( 100,000/=)

GS naomba unipe namna ya kutuma hizo pesa, MPESA na nmb mobile ni convient kwangu

Asante sana na Kila la kheri

Ndege ya Uchumi,sijui nianzie wapi kutoa shukrani zangu za dhati.Kifupi nakushukuru sana tena sana kwa moyo wako wa upendo na ujasiri uliouonyesha kwa kujitoa kunichangia.Hakika u mmoja wa waleta maendeleo Kilombero.Asante sana na MUNGU akubariki sana.

Kwa sasa unaweza kunichangia kupitia akaunti yangu ya NMB kama ulivyoomba.MPESA kule jimboni kwetu sio ya Uhakika,mara nyingi unaweza ukaenda ukaambiwa hakuna pesa lakini nitakumia pia.

Akaunti yangu ni NMB 2261606085 REGIA ESTELATUS MTEMA. NBC 026201034786 REGIA ESTELATUS MTEMA

Asante once again.
Be blessed.
 
Hongera sana mama, Nami nitakupiga taf katika hilo.Kama ukihitaji taf ya mipango pia nitakuwa tayari kwa sababu niko Moro... Ikiwezekana nitahudhuria hata baadhi ya mikutano yako ya kampeni huko KL, Kila la kheri...
 
Asante sana Ramos.My nos are 0713 760534,0753 760534,0784 760534
 
Ni kweli ana uwezo wa kuendesha kampeni kivyake lakini je ni vibaya wapenzi wa Jf kutjitoa kwa kipenzi chetu akiwa mbioni kuelekea jukwaa la Dodoma..

Simjui bibie ila binafsi nitaanza na dollar tano mama, ntakutumia jumanne niko mbali kidogo inaishia na 22 yangu Mungu akutie nguvu naombeni sapoti lazima tujue anaitaji kuwasiliana na kamati nzima ya kampeni anaitaji kuwasiliana na takukuru in case akizidiwa nguvu na mafisdi wa kura, so kwanini tumwache?

Naombeni sapoti yenu kwa huyu dada kama wanisapoti na kumwamini Mungu ushindi ni wake anza sasa tuma kwenye namba za hapo chini
My nos are 0713 760534,0753 760534,0784 760534

Asanteni sana

With Love
Regia Mtema
 
Na kila wikiend ntakuwa natuma mbili mama hasa kwa tigo
 
Kwani tukimchangia tutakula pamoja?Yeye atajali tumbo na familia yake tuu hivyo wacha achape mwendo mwenyewe!Nitakachomsaidia ni kumwambia aende kule kwetu Nkasi maana wengi wa wagombea nimewaona wakishughulika kwa 'babu'
 
Ndugu,
Hatuchagui watu wakale au wakatulishe.....uko dunia ipi mwenzetu ya CCM?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom