Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Anagombea nini? Hebu jaribuni kunyoosha sentence.
 
Ndugu,
Hatuchagui watu wakale au wakatulishe.....uko dunia ipi mwenzetu ya CCM?
Tuwe wakweli kama hawagombei ili wakale mbona wanatoana roho katika kura za maoni?Wanahonga wanachama unafikiri zile pesa watarudisha vipi kama si mjengoni?Acha masihara bwana hata Padre Slaa amesema kwamba wabunge wanabunya mapesa mno!
 
Ni kweli ana uwezo wa kuendesha kampeni kivyake lakini je ni vibaya wapenzi wa jf kutjitoa kwa kipenzi chetu akiwa mbioni kuelekea jukwaa la dodoma..simjui bibie ila binafsi nitaanza na doller tano mama
ntakutumia jumanne niko mbali kidogo inaishia na 22 yangu mungu akutie nguvu naombeni sapoti lazima tujue anaitaji kuwasiliana na kamati nzima ya kampenki anaitaji kuwasiliana na takukuru inikesi akizidiwa nguvu na wafdhaaaliiina aka mafisdi wa kura so kwa nini tumwache naombeni sapoti yenu kwa huyu dada kama wanisapoti na kumwamini Mungu ushindi ni wake anza sasa tuma kwenye namba za hapo chini

Nitalimiss sana hili jukwaa murua..Nitawamiss wote.Baada ya uchaguzi nitarudi tena jamvini kama kawaida.

My nos are 0713 760534,0753 760534,0784 760534

Asanteni sana

With Love
Regia Mtema

Ile sheria ya 'name calling' hapa haiwi applied eeh!!
 
Tupo pamoja. Nakutakia kila la kheri.

''Kilombero for Change''

''Regia Mtema-Change we Believe in''
 
Samson,nashukuru sana kwa kuniunga mkono ,nimeshangaa sana hata hatufahamaniani...MUNGU akubariki sana
 
Regina Mtema.
Nitakutumia chochote nitakachookota ili upate funds za kuendesha kampeni.
Najua mafisadi wanachekelea kuwa SISI viongozi wa kweli hatuna fedha za KUHONGA ila hawajui kuwa tuna HOJA za kugombea uongozi
 
Samson,nashukuru sana kwa kuniunga mkono ,nimeshangaa sana hata hatufahamaniani...MUNGU akubariki sana

Ndororo si chururu...., hata mimi nitajitutumua nikutumie walau dola 5 za airtime. Usijali ila naamini kila senti kwa sasa inaweza kutufikisha kwenye changes we believe in!!
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (NIMESHANGAZWA SAAAAAANA). Naendelea kuamini kuwa sasa ubunge ni moja ya kazi au majukumu yanayopoteza mantiki nchini....kwa hakika kama ni kazi iliyo bado na muktadha unaostahili hapa kwetu basi Regia bado hajakomaa kiasi cha kumuwezesha kuwa mwakilishi mwenye mashiko. Namfahamu...bado...sijasema hapaswi wala hawezi kuwa....lakini kwa sasa anahitaji bado...

Kuendelea kubeba mikoba ya Mh. Mbowe, abebe saaaana mikoba ya Dr. Slaa...ya akina Halima Mdee, Grace Kiwelu, John Mrema, Mnyika, Benson na wengine wenye uwezo CHADEMA, vinginevyo....naendelea kushangaa maana hata akina Makamba nao ni wabunge jamani...nchi hii
 
What are you saying here? Kwamba kuna namna fulani ya u Sophia Simba (kupata nafasi kwa kujipendekeza na networking kuliko uwezo ?)

Mimi nimemgrill hapa alivyotaka kulia nikaona mbunge yuko wapi hapa?

Baadaye nikaona labda ni silent killer anayesubiri kuonyesha makucha ndani ya mjengo, CCM hawana ajenda anyway, na weak as she is, ndiye mgombea wa chama mbadala kwa hiyo wengine tunam support kwa chama na wala si kama yeye mwenyewe.

CHADEMA wana safari ndefu sana kama wagombea wenyewe ndio hawa. Exposure ndogo, confidence ndogo, uelewa mdogo, strategies ndogo etc etc.
 
2Mine na Kiranga.Mna haki ya kuzungumza vyovyote mnavyotaka as long as katiba inawaruhusu.Mi nakaza mwendo,safari nimeianza na lazima niimalize..Nadhani nitakapo kuwa Mbunge ndio mtaamini.Hivi mnafikri Ubunge ni kitu cha kutisha sana eeeh,poleni sana kweli nyie ndio mnahitaji exposure..Wabunge ni watu wa kawaida sana..
 
Hapana, utakuwa unadanganya, umelazimishwa kujiweka wazi.
Kiranga,hivi unafikiri ni wewe ndiye uliyenilazmisha?ooh poor you,forget that.Kuna muungwana mmoja aliniPM kwa kujenga hoja zenye akili ndipo nikakubaliana naye kutoka front na jina langu tena kuliua kabisa jina la awali..Sikulazimishwa tafadhali..
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (NIMESHANGAZWA SAAAAAANA). Naendelea kuamini kuwa sasa ubunge ni moja ya kazi au majukumu yanayopoteza mantiki nchini....kwa hakika kama ni kazi iliyo bado na muktadha unaostahili hapa kwetu basi Regia bado hajakomaa kiasi cha kumuwezesha kuwa mwakilishi mwenye mashiko. Namfahamu...bado...sijasema hapaswi wala hawezi kuwa....lakini kwa sasa anahitaji bado...

Kuendelea kubeba mikoba ya Mh. Mbowe, abebe saaaana mikoba ya Dr. Slaa...ya akina Halima Mdee, Grace Kiwelu, John Mrema, Mnyika, Benson na wengine wenye uwezo CHADEMA, vinginevyo....naendelea kushangaa maana hata akina Makamba nao ni wabunge jamani...nchi hii

Ha ha ha,tangu niingie Makao Makuu sijawahi kubeba mkoba wa yeyote uliyemtaja hapo juu.
Nilianza kama Afisa Mwandamizi wa Vijana na baadaye kuwa Afisa mwandamizi wa Mafunzo.
Ndio hivyo natarajia kuwa Mbunge miezi michache ijayo..Wewe endelea kubeba hiyo mizigo ya mabosi wako hapo.....
 
Kiranga,hivi unafikiri ni wewe ndiye uliyenilazmisha?ooh poor you,forget that.Kuna muungwana mmoja aliniPM kwa kujenga hoja zenye akili ndipo nikakubaliana naye kutoka front na jina langu tena kuliua kabisa jina la awali..Sikulazimishwa tafadhali..

Hata kama si mimi, kuna muungwana (ambaye hatuna uhakika kama yupo au umemtunga tu kujipatia haiba) ukweli utabaki kwamba si wewe uliyetaka kujiweka wazi, watu wengine wamekushikia bango na kukusulubu ndio ukajiweka wazi.

Ushajionyesha huna initiative tayari, hauko proactive, huna msisimko, mpaka watu wakushikie bango ndiyo una act.

Hardly leadership qualities.

I am sorry If I am being too harsh on you, but I hope you take my views as constructive criticism and learn from these exchanges.

Ama sivyo unaweza kuingia bungeni ukawa passive hivi hivi bila kufanya lolote, unangoja watu wakushikie bango, na watanzania wasivyojua kushika bango miaka mitano inapita hujafanya kitu.

That is ukiingia mjengoni, inawezekana hii passive nature ikaharibu hata campaign yako isifike mbali.
 
Dada yangu lazima nikuchangie kilo moja (fedha ni nini bwana!) Ni PM njia ya kukutumia ili nikipata tu niwe nakumuvuzishia

Ok nimeshaona Account yako, lakini hawa NBC na NMB bwana wako slow sana afadhali CRDB. Vipi MPesa ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom