Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 17
sikutegemea kama atatokea mtu akashindwa kufahamu maana ya neno KUDHANI!
Welcome to JF .
Standard zako mwenyewe ulizoanzisha ndizo zinakuja back kukumaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikutegemea kama atatokea mtu akashindwa kufahamu maana ya neno KUDHANI!
Mimi naanzisha petition kwa kiranga kuingia kwenye siasa ili aweke mfano wa nini wanasiasa wanatakiwa kufanya.
Hahahahaaa kuandika na kupiga kelele kwenye mtandao si sawa na kufanya kweli kwenye real world.....wengi wetu humu ni ma armchair strategists, pundits, critics, quarterbacks, n.k tunaoishi kwenye ivory towers...
mmmmh kiranga kama mashambulizi yako umeyaelekeza sipo hivi!?
Nafikiri huwezi kumtaka mtu abadilike 'uwezo' wake........tukichukulia kuwa ameweka juhudi zote lakini amefika kuwa na Uwezo huo unaouona( hana exposure, hajui kujieleza, akiingia kwenye debate analia lia, ...........- if indeed this is true) basi kosa ni la chama chake.
Nafikiri tunaweza kuilaumu chadema kwa
kutuwekea mtu below par (if she is) labda kwa kuwa hawakuwa na choice nyengine kwa sababu she is the best among waliojitokeza kuwania nafasi hiyo
(hapa pia linakuja suala la how big was their sample. best amoung two? the only contender? ............)
and if you want to stretch the point unaweza kutoa lawama kwa watu wote wa Kilombero, kwa kushindwa kutoa mgombea bora zaidi ya huyo aliyejitokeza sasa
in short ni kuwa you cant blame a machine for its low COP but the maker for not making a better machine
Nimelieleza hili hapo juu kwamba CHADEMA kwa kutuletea mgombea dhaifu inajionyesha na yenyewe dhaifu.
Nataka Kiranga aweke his reputation online hapa. Aingie kwenye ulingo ili aoneshe watanzania wote namna ya kuendesha siasa.
I have my predicitions:
1. Hana ubavu wa kufanya hivi
2. Akijaribu, ataingia CCM (hana ubavu wa kuwa mpinzani)
3. Akiingia CCM, atakimbilia kwenye viti maalum (anaweza kusingizia kuwa yeye ni mlemavu) maana hana uwezo wa kugombania jimbo
Napinga dhana ya kumbembeleza mtu aingie kwenye siasa au uongozi kama CHADEMA walivyofanya na Dr. Slaa. Subiri mwenyewe atamke, aape, kuwa ana moyo na nia ya dhati ya kuingia siasa.Mimi naanzisha petition kwa kiranga kuingia kwenye siasa ili aweke mfano wa nini wanasiasa wanatakiwa kufanya.
Mwiru?... mimi ni atheist siamini mungu.Wanaweza si tu kukataa kunipigia kura, bali kunipiga mawe pia.Tanzania is not ready for my type right now. Maybe some future time, well beyond my lifespan.
Kiranga sasa unagombea wapi mkuu?
Na katika hayo makundi manne ya watu, wewe uko wapi?
Ungemfuatilia Kiranga ungefahamu kwamba hana hata dini, wachilia mbali upuuzi wa kujiingiza katika siasa za elected office ambao unataka mtu awe lower than some forms of protozoan life forms ili kujishusha hivyo.
Tatizo watu wanafikiri mchango pekee utatoka katika elected office, top down thinking. Bila grassroots organizations.
Tatizo Solomon anakuja na fikra zile zile nilizozitaja hapo juu za Us vs. Them, mtu akitoa criticism kwa CHADEMA ni CCM.
Wengine tunatoa criticism kwa upinzani kwa sababu tunataka upinzani imara.
Kuongelea walemavu katika hiyo context, hususan katika thread ambayo muhusika mkuu ni mlemavu, ni matusi kwa walemavu.
Kwa hiyo wewe unaona ulemavu ni kichaka cha kutafutia mteremko siyo ? Unajionyesha unavyofikiri mwenyewe.
Wanasiasa mostly ni parasites, mimi sina mpango wa kutafuta elected office.I have an actual trade (as opposed to politricks and gabfesting for a living) that is sustaining me very well, thank you very much.
Kama unaamini huyu dada ana uwezo wa kushinda put your money where your mouth is.
Weka bet hapa, mimi nasema hawezi kushinda, not by this style.
Kama huamini katika siasa, unachoongelea hapa kwenye siasa unakiamini au ni maneno tu?
Wewe ingia uoneshe mfano maana so far kila wanachofanya wenzako hakifai
Nimeonesha vile thinking yako ipo, wewe huamini (au unaamini too much kwenye anything or nothing) sasa katika hili una kigezo kingine cha kugombea zaidi ya kigezo cha ulemavu.
Kama hujagundua bado, uko kwenye wrong trade (as far as unajionesha hapa). Ungeendeleza trade yako vyema kuliko kubaka siasa ambayo sio tu kwamba unasema huiamin, bali pia unasema kuwa huipendi.
Huu ndio ninaita unafiki wa first class
Mimi nataka wewe uweke bet kama utaingia kwenye siasa, na uweke ni kiasi gani utaweka kuonesha kuwa utashinda.
Huo mwingine ni unafiki tu bets za kitoto ... mambo ya kupinga tukiwa chekechea, watu mnapinga kama mwalimu monica atawakiss (what a waste of time)
Weka reputation yako na knowledge yako kwenye line hapa JF
Ukosoaji wa Regia sasa umevuka mipaka. Mimi pia niliona alikosea pale mwanzoni aliposema asiulizwe anagombea jimbo gani na mengineyo yahusuyo ugombeaji wake. Angeweza kabisa kusema kitu kama 'nitarudi baadae kutoa maelezo zaidi kuhusu ugombeaji wangu na kujibu maswali yenu'kama mtakuwa nayo '. Angesema kitu kama hicho sidhani kama tungefika hapa tulipofika sasa. Sijui ni nani alimshauri aseme hivyo au inawezekana hakuomba ushauri wa yeyote wa jinsi gani aweke tangazo lake hapa. Alikosea kusema kusema asiulizwe. Angetupiga tarehe tu na kutuambia atarudi baadae.
Lakini licha ya kukosea huko sasa amejirudi na kuja kuweka wazi utambulisho wake na jimbo analogombea. Hapo mimi nilimpa alama ya 'vyema' na ugomvi wangu ukaisha. Ila yaelekea kuna wengine ambao bado wanalia nae. Wanakosoa kila neno, kila sentensi, kila aya, na kila wawezalo kukosoa tena kwa lugha kali zisizo za kiungwana. Hata kama ni 'constructive criticism', sidhani kama mlengwa atachukulia hivyo. Kuna namna ya kumkosoa mtu kwa kumjenga. Maneno yana maana sana. Lengo la ukosoaji linaweza kuwa jema kabisa lakini maneno unayoyatumia na jinsi unavyoyapanga yanaweza kuharibu kabisa lengo ulilokusudia. Kuna msemo Kiingereza usemao 'It's not what you say but how you say it'. Huu msemo unaweza ukawa ni cliche lakini unabeba maana nzito sana katika mawasiliano yetu ya kila siku. Kwa hiyo ni vizuri pia kuzingatia namna na jinsi tunavyosema yale tunayosema hasa kama lengo letu ni kujenga na kusaidia.
Sasa kwa vile kampeni ndio zimeshaanza (ingawa hazijaanza rasmi), tumpe muda huyu dada yetu. Kuanza kumhukumu kuwa hata kushinda hataweza si vizuri. Akija kushinda je tutafanyaje? Tutayala maneno yetu wenyewe na kumwomba radhi ama? Tumuunge mkono (ingawa si lazima kufanya hivyo, ila binafsi namuunga mkono), tumtie moyo, tumkosoe kwa lugha za kiungwana zinazojenga na si zinazomfanya mtu amenyuke (react) kwa hisia na kujibu kwa aina (in kind).
Mwisho, usivunjike moyo Regia. Haya yote yanakuja na mazingira yake (they come/go with the territory). Yaliyo mema na mazuri yachukue na yafanyie kazi. Ya kijinga na kipuuzi yaache hivyo hivyo kama yalivyo. Usiache hizi kelele zikufanye upoteze lengo (lose focus). Keep your eyes on the prize and I am with you all the to Dodoma.
Ukosoaji wa Regia sasa umevuka mipaka. Lengo la ukosoaji linaweza kuwa jema kabisa lakini maneno unayoyatumia na jinsi unavyoyapanga yanaweza kuharibu kabisa lengo ulilokusudia. Kuna msemo Kiingereza usemao 'It's not what you say but how you say it'.
Sasa kwa vile kampeni ndio zimeshaanza (ingawa hazijaanza rasmi), tumpe muda huyu dada yetu. Kuanza kumhukumu kuwa hata kushinda hataweza si vizuri. Akija kushinda je tutafanyaje? Tutayala maneno yetu wenyewe na kumwomba radhi ama? Tumuunge mkono (ingawa si lazima kufanya hivyo, ila binafsi namuunga mkono), tumtie moyo, tumkosoe kwa lugha za kiungwana zinazojenga na si zinazomfanya mtu amenyuke (react) kwa hisia na kujibu kwa aina (in kind).
Mwisho, usivunjike moyo Regia. Haya yote yanakuja na mazingira yake (they come/go with the territory). Yaliyo mema na mazuri yachukue na yafanyie kazi. Ya kijinga na kipuuzi yaache hivyo hivyo kama yalivyo. Usiache hizi kelele zikufanye upoteze lengo (lose focus). Keep your eyes on the prize and I am with you all the way to Dodoma.
Trust me,
CCM wakiamua kushinda, hata ukimsimamisha Kiranga (plus NN, Mwanakijiji, etc) bado ngoma inalala tu chini. Kama unabisha muulize Seif kule Zanzibar.
Katika Tanzania ya leo, sehemu ambayo naweza kuweka my reputation on line kuwa upinzani utashinda (na matokeo yasibadilishwe) ni kwenye ubunge kule Pemba tu na sio kwingine kokote.
Zaidi ya hapo, inategemea wakurya (wa Tarime) au wamasai (wa Karatu) wameamka vipi.
Hongera sana Ms Regie
Kuna jinsi maongezi yako na Kiranga ulivyo respond yamenipa imani kuwa ni mtu makini na si rahisi kuyumbishwa maana the guy he came swinging into you.
Pia umefanya la maana sana kuweka jina lako halisi + pic of course this meaning a lot to me and me be to a most of us too.
Ningependa kuchukua nafasi hii kusema you look nice and sexy on the pic ,its just complement I'm not seducing althought if wouldn't be married I may I 'd ask you to.(Pls take this POSITIVE)
Mwisho I pledge my support, and thats 'll be money .Please advice me if western union is ok for you cause I'm afraid you gonna be busy.
Nakutakia kampeni njema ,na imani kuna kitu kinaniambia utashinda ila bidii ni muhimu siku zote jamaa wa CCM ni wezi sana so careful matumaini yetu yabaki ukweli .
Kiranga nimejaribu kufuatilia hoja zako kuhusu Regia, nasikitika kuwa zina harufu ya wivu. Ukiacha hivi vimaneno vya kiingereza ulivyoweka hapa, basi huna hoja kabisa. Kwanza naamini nivi vimaneno umevikariri, sidhani kama unaelewa maana yake...
Labda ututhibitishie kuwa unamfahamu Regia zaidi ya huku kwenye internet, lakini huwez sema mtu hana initiative kwa sababu amekubali ushauri aliyopewa, au hana exposure (husemi kwa nini).
Lakini nahisi pia kwamba inaweza kuwa unatumiwa na baadhi ya wapinzania wa Regia. Kama ndivyo, wasiliana na Malaria sugu, na Tumain wakuambie wao wanalipwa kiasi gani isijekuwa unadhulumiwa ndugu yangu...
Nimetoka Jangwani kwa kweli mambo yalikuwa ni mazuri sana..