changamoto ndo hizo, mfa: matamanio ya kimwili kuzidi, kuchafua boxer na mashuka, kuwa off mood ila hali yote hukaa sawa pindi tu ufanyapo mazoezi ya mwili, pia kunywa maji mengi
Hayo maji yanasaidia nn!??
 
πŸ˜€
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ wameunganisha uzi wa nyetooooo..
Hawa majamaa siwaelewi, watafanya nisiwe hata najisumbua kuandika nyuzi humu ni kama vile wamefanya makusudi hivi
 
Hamna aibu kama udinde ukiwa barabarani mzee[emoji23]
 
Watu wa wikiend tunakuelewa sana [emoji23]
 
Vaa boxer za kubana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…