Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
- Thread starter
- #41
Hakuna bank au kampuni inatoa hela kinyemela hivyo. Yaani uende na details zangu uwaambie wakupe hela pasipo kuniona au kufanya mawasiliano na mwenye hizo credentials? Labda unaongelea Vikoba.Mbona kafafanua vizur tu au ww ndo unalazmsha kutomuelewa coz wangapi wamejikuta wanadaiwa kwa sababu mtu flan kukopa bank au kampun flani ya kifedha kwa kutumia credentials zake.
Kuna tukio lilitokea mwaka jana la mume kujiua baada ya mke kukopa fedha nyingi kwa kutumia jina la mume wake na pesa zote alitapeliwa.
Ingekuwa hivyo unavyoeleza wewe ni rahisi, ni wengi tungeshakopa mabenki kwa taarifa za tunaowafahamu pasipo hata wao kuelewa. Wewe unaongelea VIKOBA vya mtaani. Bank au kampuni zinazofanya biashara kweli kitu kama hicho hakipo. Tena Millioni 70, kibaya zaidi mtu aliyekopa hawafahamiani. Yaani kampuni ishindwe kuwa hata na details za aliyeenda kuchukua hiyo fedha hadi imface jamaa direct kuwa yeye ndie aliyekopa? Pesa sio nyepesi hivi aisee