Nimeshindwa kuelewa kwanini niki-date na mwanamke anashindwa kunisahau? Ilinisumbua kupata mke

Ndiyo wewe ni msomi wa 'kiwangi' cha juu sana hilo liko wazi mkuu,

Wanawake wazuri sana hawataki kukuacha ni wewe,
Wanawake wanakutongoza sana Insta ni wewe,
Unahonga sana michepuko ni wewe,
Una mke mzuri sana JF nzima hakuna ni wewe,
Jamaa msomi sana ni wewe,
Unaye date wanawake wazuri sana na wengi sana ni wewe,
Mwanaume mwenye muonekano mzuri sana ni wewe,

Okay, tunashukuru sana kukufahamu mkuu..!
 
Yaan sifa zote nzuri nzuri Ni zake yeye TU, Hana kasoro[emoji2]
 
Shida yako nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]khaaa I don care for u....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasema I don care for u

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…