Nimeshindwa kuelewa kwanini niki-date na mwanamke anashindwa kunisahau? Ilinisumbua kupata mke

Nimeshindwa kuelewa kwanini niki-date na mwanamke anashindwa kunisahau? Ilinisumbua kupata mke

Ndiyo wewe ni msomi wa 'kiwangi' cha juu sana hilo liko wazi mkuu,

Wanawake wazuri sana hawataki kukuacha ni wewe,
Wanawake wanakutongoza sana Insta ni wewe,
Unahonga sana michepuko ni wewe,
Una mke mzuri sana JF nzima hakuna ni wewe,
Jamaa msomi sana ni wewe,
Unaye date wanawake wazuri sana na wengi sana ni wewe,
Mwanaume mwenye muonekano mzuri sana ni wewe,

Okay, tunashukuru sana kukufahamu mkuu..!
 
Yaan sifa zote nzuri nzuri Ni zake yeye TU, Hana kasoro[emoji2]
 
Ndiyo wewe ni msomi wa 'kiwangi' cha juu sana hilo liko wazi mkuu,

Wanawake wazuri sana hawataki kukuacha ni wewe,
Wanawake wanakutongoza sana Insta ni wewe,
Unahonga sana michepuko ni wewe,
Una mke mzuri sana JF nzima hakuna ni wewe,
Jamaa msomi sana ni wewe,
Unaye date wanawake wazuri sana na wengi sana ni wewe,
Mwanaume mwenye muonekano mzuri sana ni wewe,

Okay, tunashukuru sana kukufahamu mkuu..!
Shida yako nini?
 
Kabla ya kuwa na mke huyu niliyenae, hapo kabla nimekua na mahusiano na wanawake wengi sana na wazuri sana, na kibaya zaidi sijawahi kutumia nguvu kwenye kutongoza.

Wote walikua wananipenda sana, kila ninaekua nae lazima atakua ananipenda kupitiliza na inakua hadi kero. Na hakuna atayetaka tuachane.

Ilifikia kipindi nilijikuta nina mahusiano na wanawake 10 kwa wakati mmoja, kwa kuwa tu hakuna anayetaka tuachane. Wapo waliowahi kutishia hata kufanya jambo baya ili tu nisimuache.

Na hata sasa bado karibu wote wananitafutaga sana, wengine wameolewa Ila bado wananitafuta sana. Hii hali nimeshindwa kuelewa, hadi sasa sijui kipi kinapelekea hivyo. Kuna siku nilikutana kwa bahati mbaya na mmoja akaanza kuleta mambo yake ila I told her iam married and that nothing would tempt me because I love my wife and her alone.

Maswali mengi nimewahi kujiuliza Ila sijapata jibu, muonekano nilionao? Ninahonga sana(ofcourse ninahonga sana)? Elimu kubwa niliyonayo (ofcourse mm ni msomi wa kiwangi cha juu sana), or my beef bayonet?

Wakati naamua kuwa na huyu mke wa sasa haikua rahisi, Kuna siku nitasema ilikuwaje hapa.

Lakini ningeweza vipi kuoa wanawake zaidi ya 20? Ningewezaje?
[emoji23][emoji23][emoji23]khaaa I don care for u....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasema I don care for u

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom