Nimeshindwa kufanya mapenzi nini tatizo?

Nimeshindwa kufanya mapenzi nini tatizo?

Tafuta supu ya pweza dogo acha kusumbuka watu watakugongea huyo mtoto ukizubaa,na akionja kitu kingine kwako harudi tenaaa!!!
 
Dogo usipanic bana hiyo kawaida sana hasa ukiwa na msongo mawazo, ila ukituliza akili inawezekana kabisa, nakumbuka mi demu wangu wa kwanza bana wakati ndo nimemalize six, nilikuwahi ku do, sasa siku hiyo na nakwenda kupiga kwa mara ya kwanza, daaaaaaaaaaah kudadadeki, kitu masaa 2 hakijaamka, ikabidi nimtoe demu tu asepe
baada ya hapo ilibidi nitafute kwanza ushauri nasaha ili kujenga confidence, na nikamrudia yuleyule, weeeeeeeeeeeeee siku hiyo mziki wake alitia akili
so relax and do it

Thanx kwa ushauri wako
 
acha kuchezea watoto wa watu kabla ya kuwaoa..hahahaha..mleta mada mimi ilinitokea kwa demu mmoja hivi enzi za ujana wangu mpaka leo sijui ilisababishwa na nini maana ni mara tatu na lala nae kitu kikisimama nikitaka kuingiza kinalala mpaka asubuhi kesho nikatafuta demu mwingine nikapiga nikaweka miahadi ya huyo demu tena mambo yale yale mpaka mara tatu mpaka leo nahisi alikuwa ananiwangia

Usikute alichukua pini au sindano akaichomeka kwenye kanga.......
 
Acha uasherati wewe subiria hadi pale utakapohalalishwa rasmi ili uweze kufaidi NDOA na sio kung'ang'ania kufanya mapenzi. I hate fornicators and adulterers a lot!

Mkuu, inawezekana kweli kununua gari bila kulijaribu au kulifanyia uchunguzi kama linakidhi vigezo unavyo vihitaji? Hebu imagine mmeingia kwenye ndoa na inatokea jogoo hapandi mtungi, hiyo aibu sijui mtaificha wapi! kwani hapo lazima ndoa ivunjike, lakini uchumba ukivunjika si mbaya sana ukilinganisha na ndoa, ndoa inatakiwa kuheshimiwa na watu wote. Si vibaya kupima viatu unavyotaka kusafiria safari ndefu kabla ya safari. Jamaa tatizo lake pale nilakisaikolojia tu, hanabudi kuweka mawazo hasi pembeni!
 
Haya matatizo mbona nayasoma sana humu ndani yanazidi kwa kasi kwa wanaume kulikoni??????
 
Shindwaaaa
Hii sio kawaida na hairuhusiwi kabisa.

Tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu na si vinginevyo.
Wewe umeweka ratiba kabisa kila mwezi utafune mzigo kabla ya ndoa!!

Mkuu nakushauri umuoe huyo dada kama mmependana na hiyo shida itaisha kabisa.
 
njoo nikupe mkuyati urudishe heshima utapiga mzigo usiku kucha.
 
Shindwaaaa
Hii sio kawaida na hairuhusiwi kabisa.

Tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu na si vinginevyo.
Wewe umeweka ratiba kabisa kila mwezi utafune mzigo kabla ya ndoa!!

Mkuu nakushauri umuoe huyo dada kama mmependana na hiyo shida itaisha kabisa.

Ucjali ndo tupo kwenye mchakato,,Next year mambo yatakuwa official
 
Mkuu, inawezekana kweli kununua gari bila kulijaribu au kulifanyia uchunguzi kama linakidhi vigezo unavyo vihitaji? Hebu imagine mmeingia kwenye ndoa na inatokea jogoo hapandi mtungi, hiyo aibu sijui mtaificha wapi! kwani hapo lazima ndoa ivunjike, lakini uchumba ukivunjika si mbaya sana ukilinganisha na ndoa, ndoa inatakiwa kuheshimiwa na watu wote. Si vibaya kupima viatu unavyotaka kusafiria safari ndefu kabla ya safari. Jamaa tatizo lake pale nilakisaikolojia tu, hanabudi kuweka mawazo hasi pembeni!
Huu ndio unafiki, yaani wewe unahalalisha uasherati kwa kigezo cha ku-test mashine? Hivi Adam alim-test Eva/Hawa kabla Mungu hajawaunganisha? Iweje uzini/ufanye uasherati halafu baadaye ukimbilie kanisani/msikitini kuhalalisha ndoa tena pasipo kutubu dhambi hiyo huku mkijidai eti "Mme/Mke mwema mtu hupatiwa na Mungu"? Na sheikh/padri au mchungaji naye anabariki huku akikenua meno nje hata kama Bi. Harusi ana mimba kubwa ya miezi 5! What a Nonsense!
 
angekuwa mkeo ningekushauri,kwa sasa siwezi kwambia chochote sababu unazini,njoo nikupe maombi
 
We bwana mdogo acha zinaa zako hapa jukwaani, na una dalili zooote za kuja kuwa joka la kibisa na hiyo ni adhabu toka kwa muumba wetu kwani amekataza na ameweka utaratibu wa kufutwa ili uweze kujipatia hicho kitu, sasa wewew unajiona kidume na mwenye kujua hayo. kwaiyo kama ni mkristo nenda kaungame na utubu juu yahilo na vivyo hivyo kama unatokea imani ya pili ufate utaratibu, ila kama wewe ni mpagani mshenzx sugu endelea na huo uharamia ila jaribu kufuta hiyo ratiba kwani penz halina ratiba kiiivyo ila huwa ni hisia zinazoamshwa na mashamu shamu yanayojengewa mazingira.

" kamwe siwezi kua adui kwa kusema ukweli na tayari jipu limeshapasuka
"
 
Huwa niko normal wakati wa sex,lakini hii siku imetokea ghafla tu.

labda ulikuwa na stress siku hiyo, huwa inatokea sana kama ukiwa na stress ubongo hauwezi kuconcentrate kwenye hiyo mambo aiseee
 
Supu ya pweza + nyagi dry we kazi ipo wabondei.
 
Fanya mazoezi kijana( mazoezi ya mwili) kama kukimbia, mpila wa miguu, na mazoezi ya mwili kwa ujumla...alafu nenda kafanye test uone speed meter zinavyosoma!
 
Back
Top Bottom