mchagahalisi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 619
- 361
Tafuta supu ya pweza dogo acha kusumbuka watu watakugongea huyo mtoto ukizubaa,na akionja kitu kingine kwako harudi tenaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo usipanic bana hiyo kawaida sana hasa ukiwa na msongo mawazo, ila ukituliza akili inawezekana kabisa, nakumbuka mi demu wangu wa kwanza bana wakati ndo nimemalize six, nilikuwahi ku do, sasa siku hiyo na nakwenda kupiga kwa mara ya kwanza, daaaaaaaaaaah kudadadeki, kitu masaa 2 hakijaamka, ikabidi nimtoe demu tu asepe
baada ya hapo ilibidi nitafute kwanza ushauri nasaha ili kujenga confidence, na nikamrudia yuleyule, weeeeeeeeeeeeee siku hiyo mziki wake alitia akili
so relax and do it
acha kuchezea watoto wa watu kabla ya kuwaoa..hahahaha..mleta mada mimi ilinitokea kwa demu mmoja hivi enzi za ujana wangu mpaka leo sijui ilisababishwa na nini maana ni mara tatu na lala nae kitu kikisimama nikitaka kuingiza kinalala mpaka asubuhi kesho nikatafuta demu mwingine nikapiga nikaweka miahadi ya huyo demu tena mambo yale yale mpaka mara tatu mpaka leo nahisi alikuwa ananiwangia
Usikute alichukua pini au sindano akaichomeka kwenye kanga.......
Acha uasherati wewe subiria hadi pale utakapohalalishwa rasmi ili uweze kufaidi NDOA na sio kung'ang'ania kufanya mapenzi. I hate fornicators and adulterers a lot!
Shindwaaaa
Hii sio kawaida na hairuhusiwi kabisa.
Tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu na si vinginevyo.
Wewe umeweka ratiba kabisa kila mwezi utafune mzigo kabla ya ndoa!!
Mkuu nakushauri umuoe huyo dada kama mmependana na hiyo shida itaisha kabisa.
Huu ndio unafiki, yaani wewe unahalalisha uasherati kwa kigezo cha ku-test mashine? Hivi Adam alim-test Eva/Hawa kabla Mungu hajawaunganisha? Iweje uzini/ufanye uasherati halafu baadaye ukimbilie kanisani/msikitini kuhalalisha ndoa tena pasipo kutubu dhambi hiyo huku mkijidai eti "Mme/Mke mwema mtu hupatiwa na Mungu"? Na sheikh/padri au mchungaji naye anabariki huku akikenua meno nje hata kama Bi. Harusi ana mimba kubwa ya miezi 5! What a Nonsense!Mkuu, inawezekana kweli kununua gari bila kulijaribu au kulifanyia uchunguzi kama linakidhi vigezo unavyo vihitaji? Hebu imagine mmeingia kwenye ndoa na inatokea jogoo hapandi mtungi, hiyo aibu sijui mtaificha wapi! kwani hapo lazima ndoa ivunjike, lakini uchumba ukivunjika si mbaya sana ukilinganisha na ndoa, ndoa inatakiwa kuheshimiwa na watu wote. Si vibaya kupima viatu unavyotaka kusafiria safari ndefu kabla ya safari. Jamaa tatizo lake pale nilakisaikolojia tu, hanabudi kuweka mawazo hasi pembeni!
Huwa niko normal wakati wa sex,lakini hii siku imetokea ghafla tu.
wengine
dushelele huwa zinasimama mpaka unaifunga pande la barafu
ipoe........... Lolest:israel: