Nimeshindwa kujizuia kuificha furaha yangu kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.

lissu aliwapa angalizo ila hawamkusikiliza tena wakatunga na usemi eti mama anaupiga mwingi!
Hahaaa.

Walivyomshobokea utadhani huyo ‘mama’ yao hakuwa msaidizi wa Magufuli.

Leo wanalia na kusaga meno.

Na aendelee kuupiga mwingi tu 🤣.

Samia mpaka 2040.
 
Hizi zinaweza kuwa dalili za polio😂 hasa kama mtu hajawahi kupata chanjo ya kinga😂😂😂😂
 
Hizi zinaweza kuwa dalili za polio😂 hasa kama mtu hajawahi kupata chanjo ya kinga😂😂😂😂
 
Chadema walijenga uadui na Magu badala ya kumpa support.
Their shortsightedness couldn’t let them see the forest for the trees.

They thought their enemy was Magufuli because he was loud-mouthed and uncouth.

So called maandamano ya juzi yamenikumbusha yale ya UKUTA 🤣.

Hawana mikakati madhubuti. Hawana maono.

Wamejikita zaidi katika kushinda malumbano ya kwenye mitandao kuliko kuishinda CCM uraiani.
 
Kitu ninachojua ni kuwa ipo siku ccm itaondoka madarakani iwe kwa sanduku la kula au kwa vita, kitu ninachoomba kuwa wote watu walipwe kwa walioyafanya tu
 
Aisee
 
Hizi zinaweza kuwa dalili za polio😂 hasa kama mtu hajawahi kupata chanjo ya kinga😂😂😂😂
Your browser is not able to display this video.
 
Hii nzuri.

========

bwahaaaaaha

CHADEMA waache uhanarakati na wajikite kwenye Siasa za sera na sio mihemeko tu.


Kyengebwahed
 
Hivi wamesema lini wataandamana tena?
Wakitekana tena labda?

Itachukua miaka mingine 10 kabla ya Watanzania kuanza kuigiza utamaduni huu wa ku "protest"

Mbaya ni kwamba haya(maandamano na vurugu zingine zinazokuja nazo) yatawatokea CHADEMA wenyewe

(kama ikitokea wakishika madaraka)

... sidhani kama wataweza kuja kuendesha serikali bila ya wao kutumia nguvu ya Dola.

Watambue tu hayo. Wawe teyari
 
Kuna vitu unaweza shabikia kwa sababu unavisikia tu,

Lkn kama angetekwa mzazi wako au ndugu yako wa karibu ndio ungejua jinsi gani familia zinapita magumu
 
W
Sasa hivi sijui wanaonyooshwa ni akina nani 🤣.
Akamualika hadi kwenye tamsha lao la bawacha

Malisa akaanzisha msemo wa mama anaupiga mwingi😂😂😂
Juzi Malisa anazungushwa kama sanamu Moshi Dar kusomewa kesi
 
😂 😂 😂 Nasikia uchaguzi huu utakuwa wa huru na haki machadema yataachiwa Kura yajihesabie maana mama anaupiga mwingi
 
W

Akamualika hadi kwenye tamsha lao la bawacha

Malisa akaanzisha msemo wa mama anaupiga mwingi😂😂😂
Juzi Malisa anazungushwa kama sanamu Moshi Dar kusomewa kesi
🤣

Dah…nilisahau kweli kuwa alienda kwenye tamasha lao.
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100% chadema na vyama vyote vya upinzani tz ni upuuzi ulio kamili ni kama ccm tu ...kinacho wakuta chadema ni funzo kwa wapumbavu wote ...nakumbuka walisema JPM kazuia uhuru wa vyombo vya habari ..ila chini ya samia sasa ndiyo vimepigwa marufuku hadi kufikia kukata matangazo ya redio za kimataifa yanayo toa maoni ya upinzani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…