Hizi ni siasa za control.
Yani ni habari za "sisi tunasema hii ndiyo njia sahihi, halafu hatufurahi tu sisi kuweza kuishi njia hii tunayoiona sahihi,tunataka kumlazimisha kila mtu aishi njia hii tunayoiona sahihi".
Sheria za kuwapinga homosexuals zimeanzia Uingereza.
Waingereza wenyewe waliotupa hizi sheria wamezitupa, wameziona hazina maana.
Kuna kipanga alikuwa anaitwa Alan Turing, katika watu waliosaidia Waingereza kushinda vita vya pili vya dunia, Alan Turing alikuwa mmoja wapo.Turing aliongoza team iliyovunja encryption ya Wajerumani ya "enigma"
Kama umeona movie ya "The Imitation Game" utakuwa umeiona hii story. Jamaa limeokoa maisha ya watu kibao, limechangia sana nchi kushinda vita, halafu wamem frustrate mpaka kajiua, kwa sababu gay.
Mpaka juzi hapa Malkia akaona ujinga huu, huyu ni national hero, akamfutia makosa yake yote.
Story iliandikwa na BBC
hapa
Sasa sisi hatujajifunza kwa wenzetu bado, tunataka kina Turing wetu nao tuwasakame?
Mimisi gay na wala sina haja ya kuwa gay (naweza kuitisha a Vegas freakshow ya wanawake alio katika simu yangu tu)
Lakini naona kuwafuatilia sana gays inaonesha amauna wivu nao, amaunataka kuwa control, ama na wewe ni gay una self hate.
Otherwise, watu wanaofirana wenyewe kwa wenyewe mimi wananihusu nini?