Nimeshindwa kumuelewa Millard Ayo kwa jambo hili au na yeye ni mmoja wapo?

Nimeshindwa kumuelewa Millard Ayo kwa jambo hili au na yeye ni mmoja wapo?

Jamaa nasikia kitambo ni mboga kwahiyo ile habari ya tokomeza mashoga imemgusa kwa upande flan
Mkuu tahadhari, kama kuna ukweli nitakuwa bega kwa bega nawe kusema kuwa Bw. Ayo ni mboga, duh inatisha kwa wewe kusema hivyo kwa kweli..
 
Nia ya Mh Makonda ni nzuri, tatizo linalokuja ni kwamba kila nia nzuri ya mhedhimiwa huyu inakuwa na ajenda nyuma yake ya ama kumdhalilisha mtu au kumuumiza. Hivyo wenye akili hawaingii haraka kwa jambo analolianzisha, haaminiki.
 
Katika kampeni inayoendelea kwa sasa ya kutokomeza ushoga Millard Ayo hakutoa sapoti yoyote ile wala kupost habari yoyote inayoashiria kukataza ushoga lakini kwa maajabu kabisa baada ya serikali kuonesha hawako pamoja na mheshimiwa Paul Makonda katika juhudi zake za kutokomeza mashoga tunamuona Millard Ayo amepost hiyo habari haraka sana.

Hii inaashiria nini??????Ninaona kuna ulazima mkubwa sana Millard Ayo kupimwa marind.a.


View attachment 922478
Inawezekana alikuwa amezipitia sheria zetu na mikataba yetu ya kimataifa inayogusa hayo mambo jinsi inavyotufunga kuondoa uovu huo hata kwa nguvu ya dola. Rejea hizi kauli za wizara ya mambo ya nje na ile ya mambo ya ndani.
 
Hizi ni siasa za control.

Yani ni habari za "sisi tunasema hii ndiyo njia sahihi, halafu hatufurahi tu sisi kuweza kuishi njia hii tunayoiona sahihi,tunataka kumlazimisha kila mtu aishi njia hii tunayoiona sahihi".

Sheria za kuwapinga homosexuals zimeanzia Uingereza.

Waingereza wenyewe waliotupa hizi sheria wamezitupa, wameziona hazina maana.

Kuna kipanga alikuwa anaitwa Alan Turing, katika watu waliosaidia Waingereza kushinda vita vya pili vya dunia, Alan Turing alikuwa mmoja wapo.Turing aliongoza team iliyovunja encryption ya Wajerumani ya "enigma"

Kama umeona movie ya "The Imitation Game" utakuwa umeiona hii story. Jamaa limeokoa maisha ya watu kibao, limechangia sana nchi kushinda vita, halafu wamem frustrate mpaka kajiua, kwa sababu gay.

Mpaka juzi hapa Malkia akaona ujinga huu, huyu ni national hero, akamfutia makosa yake yote.

Story iliandikwa na BBC hapa





Sasa sisi hatujajifunza kwa wenzetu bado, tunataka kina Turing wetu nao tuwasakame?

Mimisi gay na wala sina haja ya kuwa gay (naweza kuitisha a Vegas freakshow ya wanawake alio katika simu yangu tu)

Lakini naona kuwafuatilia sana gays inaonesha amauna wivu nao, amaunataka kuwa control, ama na wewe ni gay una self hate.

Otherwise, watu wanaofirana wenyewe kwa wenyewe mimi wananihusu nini?


The_Imitation_Game_%282014%29.png
Inasikitisha sana
 
Mambo ya kupakaziana sio fresh, usiongelee habari za mtu kama huna ukakika nazo maana wabongo wengi low IQ wanaweza kusoma sentensi moja mtandaoni wakabeba bango mia mia. Hurting the feelings of somebody ni kitu kibaya sana
 
Hivi mkuu kwa mfano mtu ameona kuwa furaha yake ipo kwenye kuwa shoga, hao wanaomzuia kufanya hivyo inawahusu nini?? Wanapoteza nini kutokana na huyo mtu kuwa shoga hata watake kuingilia uhuru wake?? Yaani analiwa mtu nyuma halafu wanaoumia ni wengine!!How this can be possible???!!

Siku hizi watu ndio wanapenda kuingilia maisha ya watu sijui sababu ni nini? Hawa jamaa walikuwepo tangu enzi za Mwalimu na hawakubudhiwa. Kwa Dar es salaam walikuwa wanaonekana sana kwenye mitaa ya Kariakoo, hasa Jangwani na Gerezani. Sana sana watu walikuwa wanawachukulia kama funny people lakini si kuwachukia na kuwaadhibu.
Walikuwa na muziki wao uliitwa Chakacha,ni kama taarabu iliyochangamka. Chakaka ndio chimbuko la hii genre ambayo sasa wanaita Mnanda.
 
Back
Top Bottom