Nimeshindwa kumuelewa Millard Ayo kwa jambo hili au na yeye ni mmoja wapo?

Nimeshindwa kumuelewa Millard Ayo kwa jambo hili au na yeye ni mmoja wapo?

Hahahaaa...
Mashoga na Madada Pouwaah wataendelea kutoa huduma kwa Jamii mpaka kieleweke, ukizingatia biashara yao Jamii imeipokea vizur tuu.
 
Katika kampeni inayoendelea kwa sasa ya kutokomeza ushoga Millard Ayo hakutoa sapoti yoyote ile wala kupost habari yoyote inayoashiria kukataza ushoga lakini kwa maajabu kabisa baada ya serikali kuonesha hawako pamoja na mheshimiwa Paul Makonda katika juhudi zake za kutokomeza mashoga tunamuona Millard Ayo amepost hiyo habari haraka sana.

Hii inaashiria nini??????Ninaona kuna ulazima mkubwa sana Millard Ayo kupimwa marind.a.

View attachment 922478
Hujawahi kupost kitu cha maana zaidi ya majungu na umbea
 
Jamaa nasikia kitambo ni mboga kwahiyo ile habari ya tokomeza mashoga imemgusa kwa upande flan
Neno nasikia huashiria tabia ya umbea,habari au ushahidi huletwa kwa ushahidi wa kujua au kushuhudia.
 
Kwa mambo na hoja zinazoendelea kwenye cyber space (kama uzi huu) vijana wengi wa Tz wanaugua.
 
Hasa pale wafu fm watangazaji wengi wa vipindi vya burudani watakuwa wameambukizwa hii tabia. Mkongwe wao ni yule host wa kipindi cha mchana. Nasikia jamaa huwa anaseduce sana ukipata tu nafasi ya kusafiri naye au kuwa pamoja sehemu iliyojificha kama hotelini au chumba chochote lazima aombe umtafune jamaa ni kama kawa addicted sometimes huu mchezo ni kama kutumia madawa ya kulevya. Vijana wengi hapo wafu FM atakuwa kawaambukiza yeye hii tabia. Na kwa mujibu wa konki list ya wasanii aliyozuia makonda asiitaje wasanii ni kama wote majina mengine niliyokutana nayo yamenifanya niogope kabisa, hawa wasanii wameharibika aisee, bora hata uchafu wa akina wema kuliko hawa wa kiume. Ndiyo maana hii ya konki hata hawaishadadii wana hofu watatajwa wakati wowote.
Hii scandal itawachukua wengi mno
 
Katika kampeni inayoendelea kwa sasa ya kutokomeza ushoga Millard Ayo hakutoa sapoti yoyote ile wala kupost habari yoyote inayoashiria kukataza ushoga lakini kwa maajabu kabisa baada ya serikali kuonesha hawako pamoja na mheshimiwa Paul Makonda katika juhudi zake za kutokomeza mashoga tunamuona Millard Ayo amepost hiyo habari haraka sana.

Hii inaashiria nini??????Ninaona kuna ulazima mkubwa sana Millard Ayo kupimwa marind.a.

View attachment 922478

CHUKI BINAFSI TU. JE WEWE ULITOA TAARIFA ZIPI NA WAPI.
MTU YEYOTE ANAWEZA FANYIWA VIPIMO. HATA WEWE WAWEZA FANYIWA VIPIMO PIA.SI LAZIMA ANAYEFANNYIWA VIPIMO AWE MUHATHIRIKA JAMBO HUSIKA, VIPIMO NDIVYO VITAAMUA. NAKUSHAURI NAWE UKAPIMWE
 
muache huyo kijana apambane na kukitafutia kipato hana bifu na mtu ,namuoneaga huruma sana kusema mbaya dhidi yake.
 
Hivi Millard amewahi kutoka na demu public??? nasikia Kidoti alikuwa anamzimia balaa jamaa anapotezea..Arachuga niaje
 
Back
Top Bottom