Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Umeiona movie. Inasikitisha sana.hii movie ina sad ending balaa.... jamaa walianza kumpiga masindano ya calstration richa ya kuwasaidia kucrack code za mawasiliano ya wajeruman
Mimi nilianza kumfuatilia Turing kitambo, kwa sababu alitajwa sana kama miamba walioweka mifumo ya computer mwanzo kabisa.
Nikawa nimesoma hicho kitabu, halafu nikaangalia movie.
Ukisoma kitabu it is even worse walivyomfanyia.