Nimeshindwa kumuelewa Millard Ayo kwa jambo hili au na yeye ni mmoja wapo?

Jamaa nasikia kitambo ni mboga kwahiyo ile habari ya tokomeza mashoga imemgusa kwa upande flan
Mkuu tahadhari, kama kuna ukweli nitakuwa bega kwa bega nawe kusema kuwa Bw. Ayo ni mboga, duh inatisha kwa wewe kusema hivyo kwa kweli..
 
Nia ya Mh Makonda ni nzuri, tatizo linalokuja ni kwamba kila nia nzuri ya mhedhimiwa huyu inakuwa na ajenda nyuma yake ya ama kumdhalilisha mtu au kumuumiza. Hivyo wenye akili hawaingii haraka kwa jambo analolianzisha, haaminiki.
 
Inawezekana alikuwa amezipitia sheria zetu na mikataba yetu ya kimataifa inayogusa hayo mambo jinsi inavyotufunga kuondoa uovu huo hata kwa nguvu ya dola. Rejea hizi kauli za wizara ya mambo ya nje na ile ya mambo ya ndani.
 
Inasikitisha sana
 
Mambo ya kupakaziana sio fresh, usiongelee habari za mtu kama huna ukakika nazo maana wabongo wengi low IQ wanaweza kusoma sentensi moja mtandaoni wakabeba bango mia mia. Hurting the feelings of somebody ni kitu kibaya sana
 

Siku hizi watu ndio wanapenda kuingilia maisha ya watu sijui sababu ni nini? Hawa jamaa walikuwepo tangu enzi za Mwalimu na hawakubudhiwa. Kwa Dar es salaam walikuwa wanaonekana sana kwenye mitaa ya Kariakoo, hasa Jangwani na Gerezani. Sana sana watu walikuwa wanawachukulia kama funny people lakini si kuwachukia na kuwaadhibu.
Walikuwa na muziki wao uliitwa Chakacha,ni kama taarabu iliyochangamka. Chakaka ndio chimbuko la hii genre ambayo sasa wanaita Mnanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…