Nimeshindwa kupata kazi kwa juhudi zangu. Naombeni msaada wenu

WAKUU, MABOSI NDUGU BODO NAITAJI MSAADA WANU. PIA NIPO TAYARI KUJIFUNZA KAMA MSAIDIZI.
Mkuu utapata Kazi ni swala la subra

Ila don't lower ur value , Endelea kutafuta Kazi Kama skilled man

Then jaribu kutafuta makapuni yanayowahitaji watu Kama wewe then share ur CV with them

Ingia Kwa Ma hr DM

Fanya game of numbers the more you try the more you add a chance to get a job.
 
shukran sana mkuu
 
sio kwamba napenda mkuu ila inanibidi yawezekana ujuzi nilionao hauitajiki sana sokoni
 
hapana nimevuka hapo kidogo
Usiwaze mkuu mambo yataenda tu vizuri ila kwa umri huo wako nakushauri jiajiri, tafuta mtaji hata mdogo jiajiri achana na masuala ya kusaka ajira sehemu. Kama mjini mambo magumu njoo pm nikupe connection za vijijini huko ndani ya mwaka kwa mtaji wa laki 6 utakuwa mbali
 
WAKUU, MABOSI NDUGU BODO NAITAJI MSAADA WANU. PIA NIPO TAYARI KUJIFUNZA KAMA MSAIDIZI.
Pole ndg yangu inaonekana situation zetu zinafanana ila humu JF hamna msaada humu kuna watu wa ushauri mwingi ambao kimsingi hautekelezeki mimi nilishaacha kuleta kilio changu humu sasa hivi namtegemea Mungu tu na juhudi zangu mwenyewe hawa watu watakuangusha, kitu cha kuamini ni kwamba ipo siku utatoka ktk hali hii. Endelea kuomba Mungu kwa Imani yako amini atainua watu muhimu wa kukusaidia
 
Pole ndg yangu inaonekana situation zetu zinafanana ila humu JF hamna msaada humu kuna watu wa ushauri mwingi ambao kimsingi hautekelezeki mimi nilishaacha kuleta kilio changu humu sasa hivi namtegemea Mungu tu na juhudi zangu mwenyewe hawa watu watakuangusha, kitu cha kuamini ni kwamba ipo siku utatoka ktk hali hii.

Inategmea Ila sehemu amabazo ni za uhakika kuapata Kazi ni JF , LinkedIn

Ukitumia hizi platform vizuri kupata JOB ni uhakika .

Kitu kingine ukiingia LinkedIn usisubirie Tangazo la Ajira just be in touch with hr DM( direct message)

Tumia hr hata 30 Kwa various company and institution utapata JOB

Ukiwa job hunter lazima
uwe Mtaalamu wa kucheza na game of numbers.

The same JF
 
IUki

Ukiniambia LinkedIn naweza kukuelewa kwa sababu ina muelekeo huo sasa humu watu wamehide identity zao unajuaje km ni Hr wa kampuni fulani ? humu hamna ikitokea mtu akaguswa basi ni kwa bahati sana
 
Hakuna mtandao wenye watu wazuri Kama JF hapa Tanzania
 
Sijapata kuona shuhuda ya mtu aliyepata kazi kupitia JF kama wapo ni wachache ambao pengine na ww miongoni mwao ila wengi wanaishia kubezwa ,kudhihakiwa na baadhi hutoa ushauri tu sasa inasaidia nini? Mtu km huyu ameomba msaada wa kazi ila wa ushauri ndo wanakuja wengi
 
Usimkatishe tamaa nina uhakika atapata Kazi kama wengine

Then kuhusu Mimi , Mimi nafanya biashara sijawahi kutafuta Ajira JF Ila huwa natafuta vijana ninapokuwa nina uhaba wa rasilimali watu.

Kwa sasa Elimu yangu na maarifa niliyonayao hakuna taasisi wala Kampuni ya kulinilipa Tanzania
 
Sina lengo la kumkatisha mtu tamaa lkn nimeandika kilichopo ninachokiona, pitia thread nyingi za vijana wanaoomba kazi na majibu yanayotolewa utaelewa nachoandika. Lakini pia naamini ww km unavosema una maarifa mengi na ujuzi mwingi na umesema umeajiri vijana, ingependeza ukamuona na huyu ukamsaidia ht kumpa connection ingefaa zaidi kuliko kutia moyo ambayo najua sio hitaji lake la msingi kwa sasa.
 
Pole ndg yangu inaonekana situation zetu zinafanana ila humu JF hamna msaada humu kuna watu wa ushauri mwingi ambao kimsingi hautekelezeki mimi nilishaacha kuleta kilio changu humu sasa hivi namtegemea Mungu tu na juhudi zangu mwenyewe hawa watu watakuangusha, kitu cha kuamini ni kwamba ipo siku utatoka ktk hali hii. Endelea kuomba Mungu kwa Imani yako amini atainua watu muhimu wa kukusaidia
shukrani sana mkuu.
 
Inategmea Ila sehemu amabazo ni za uhakika kuapata Kazi ni JF , LinkedIn

Ukitumia hizi platform vizuri kupata JOB ni uhakika .

Kitu kingine ukiingia LinkedIn usisubirie Tangazo la Ajira just be in touch with hr DM( direct message)

Tumia hr hata 30 Kwa various company and institution utapata JOB

Ukiwa job hunter lazima
uwe Mtaalamu wa kucheza na game of numbers.

The same JF
sawa mkuu ngoja nifanye hivyo
 
Usimkatishe tamaa nina uhakika atapataKazi kama wengine

Then kuhusu Mimi , Mimi nafanya biashara sijawahi kutafuta Ajira JF Ila huwa natafuta vijana ninapokuwa nina uhaba wa rasilimali watu.

Kwa sasa Elimu yangu na maarifa niliyonayao hakuna taasisi wala Kampuni ya kulinilipa Tanzania
mkuu angalia upande wangu ni fikirilie niungane na team work yako
 
Back
Top Bottom