Nimeshindwa kuvumilia, nimetembea na mke wa rafiki yangu

Nimeshindwa kuvumilia, nimetembea na mke wa rafiki yangu

Hapo kuna mawili lazima yametokea kabla mosi ni kwamba huyo jamaa atakuwa ametembea na rafiki ya mke wake hivyo na yeye amelipizia kwa kutembea na wewe kama kumkomoa. Pili uenda huyo jamaa yako nae alitembea na mkeo au mchumba wako kama hujaoa hivyo huyo demu amehamua kulipizia kwa kupita na wewe.

Katika situation hizo zote mbili ni kwamba umetumika kwa maslai mapana ya huyo mwanamke dhidi ya mumewe na amefanya hivyo ili aje kumtambia huyo rafiki yako pindi akiendelea na tabia yake ya kugonga gonga ovyo.

Katika hali zote usalama wako ni mdogo sana hapo. Ushauri wangu kama ukiweza kufanya ujasusi mwite huyo demu mgonge kisha chukua simu yake futa ushahidi wote wa mazungumzo na chating zenu halafu baada ya hapo akituma meseji unamruka kama humjui na kila analosema unamkatalia kwamba hufahamiani nae na akukome.

Ukifanya hivyo utakuwa umemaliza huo ujinga kibingwa sana
 
Habari ya muda huu!

Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF.

Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi.

Yule dada namfahamu, lakini sikuwa na mazoea nae. ila siku moja alitafuta namba yangu ya simu na kuntafuta. Alikuja na gea ya kwamba yeye ni mwanamke kutoka sehemu flan ya mbali kdg na hapa nilipo ila kutokana na harakat zangu anananfahamu na aliendelea kudai kuwa AMENIPENDA tuwe wapenz.

Mwanzo nlichukulia poa na kudhan kuwa ni mtu tu anataka kunchanganya.

Kadri mazungumzo yalipozidi kuendelea dada yule mwenye watoto 3 aliendelea kuthibitisha kuwa ananpenda ijapokuwa ameolewa.

Baadae alipiga simu na kumsikia sauti yake na kweli ilikuwa ni ya mwanamke.

Kutokana na ukamilifu wa uwanaume wangu nikaona mimi ni nani mpaka nikatae mtongozo wa mtoto mzuri? Nikakubali

Siku nakutana nae kumbe ni mke wa jamaangu. Dah? Nlishangaa sana na alisema laiti ningekwambia kabla usingekubali

Kwakweli nkapita nae na mpaka sasa AMEKOLEA.

MSAADA TAFADHALI
Msaada gani sasa...ushakua mzinzi na mkewe mtu....mbwa nyie
 
Inaonekana kua na mpenzi mmoja binadamu tuna force tu.
Screenshot_2024-05-08-18-50-06-05~2.jpg
 
Back
Top Bottom