funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Hapo kuna mawili lazima yametokea kabla mosi ni kwamba huyo jamaa atakuwa ametembea na rafiki ya mke wake hivyo na yeye amelipizia kwa kutembea na wewe kama kumkomoa. Pili uenda huyo jamaa yako nae alitembea na mkeo au mchumba wako kama hujaoa hivyo huyo demu amehamua kulipizia kwa kupita na wewe.
Katika situation hizo zote mbili ni kwamba umetumika kwa maslai mapana ya huyo mwanamke dhidi ya mumewe na amefanya hivyo ili aje kumtambia huyo rafiki yako pindi akiendelea na tabia yake ya kugonga gonga ovyo.
Katika hali zote usalama wako ni mdogo sana hapo. Ushauri wangu kama ukiweza kufanya ujasusi mwite huyo demu mgonge kisha chukua simu yake futa ushahidi wote wa mazungumzo na chating zenu halafu baada ya hapo akituma meseji unamruka kama humjui na kila analosema unamkatalia kwamba hufahamiani nae na akukome.
Ukifanya hivyo utakuwa umemaliza huo ujinga kibingwa sana