Nimeshindwa kuvumilia, nimetembea na mke wa rafiki yangu

Jibu simple mkuu kata nae mazoea.
Hata mimi nimewahi mla mke wa jamaa yangu ila walikua katika harakati za kupeana talaka.
Ila nimekata nae mazoea kila kitu kipo furesh.
Kata mazoea ikiwezekana hama kabisa mtaa na futa ushahidi wote kama mmewahi kuwasiliana ama kukutana ama kuwa katika mahusiano.
Badili hata namba,maana bro jamaa akigundua anaweza hata akakuroga,mke anauma bro.
 
Napataje huduma hiyo bila ya kuonana na wewe?
 
Hahaha
 
Hatutakiii
 
Huu ujinga ujinga sijui utaisha lini. Anyway yajayo yanafurahisha
 

Tabia mbaya ukiendekeza hua haina kikomo,leo umepita kwa mke wa rafiki yako,kesho utapita kwa mke wa kaka ako au mdogo wako,kesho kutwa utapita kwa binti yako,chamsingi acha tabia hiyo pia jutia sana hicho kitendo ndugu yangu
 
Unatumika kulipiza kisasi, la kufanya hapo ni kuachana na urafiki na rafiki yako na huyo mwanamke jitahidi achana nae. Trust me, in long run hana maana huyo mwanamke kwako zaidi ya kukuletea matatizo tu.
Na pia kila anapoenda asisahau kubeba kirainishi kiwepo mda wote kwenye desh body
 
Reactions: Tsh
Unajionaje mzeee 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…